GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
- Thread starter
- #61
Hawa huenda ndiyo waliotumwa na akina P Msekwa kwamba waje waipake matope Chedema hapa Jf kwa imani kwamba Jf ni mali ya Chadema.
SIMTAMBUI JK KAMA NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ww kweli utakuwa sio CDM ? mbona iko wazi tu mkuu