CDM kususa kwenu bado hakujaisha?

CDM kususa kwenu bado hakujaisha?

Kinachowashangaza watanzania na wenye kuitakia mema nchi hii ( sio CDM ) ni pale ambapo CDM kususia sherehe zote za kitaifa japokuwa hupewa mualiko rasmi. Hivi hizi sherehe zote za kitaifa hazina maana kwenu ? je mngechukua nchi hii na kushika dola mngezifuta ? . Hili kwa CDM halionyeshi picha nzuri kabisa mbele ya watanzania, na wengi wameisha anza kuwadharau na kuwaona kuwa hamkuwa na nia njema na hamna nia njema na nchi zaidi ya maslahi yenu binafsi. Na nukuu maneno ya Mh. Shibuda , mbunge wa CDM Maswa wakati wa kikao cha wabunge wa CDM kilichofanyika Bagamoyo kuwa '…………hiki si chama cha kisiasa bali ni kundi la wahuni wachache wenye uroho wa madaraka' mwisho wa kunukuu. Tafakari zingatia
i told you to stick with medication hukunisikiliza ona sasa hallucinations zinavyokusumbua
 
Sherehe za Muungano ni sherehe tu kama za mdundiko hazina maana yoyote. Vunja Muungano sasa.
 
Tuna msiba kule shinyanga, viongozi wako busy na maandalizi ya mazishi ya kamanda. Si vizuri kwenda kula ubwabwa na kuuza sura wakati wengine wanalia
 
Mwishowe tutaambiwa wale wote waliokuwa wanasambaza vipeperushi ZNZ vya kutaka wananchi
wasihudhulie sherehe za Muungano ni CDM
 
i told you to stick with medication hukunisikiliza ona sasa hallucinations zinavyokusumbua

CHADEMAZ = A group of insane people in Juda, na ww ni mmoja wapo
 
Tuna msiba kule shinyanga, viongozi wako busy na maandalizi ya mazishi ya kamanda. Si vizuri kwenda kula ubwabwa na kuuza sura wakati wengine wanalia

Huu msiba usiwe kisingizio , na nyingine zilizo pita mlifiwa na nani ? hebu acheni kutufanya sie watoto wadogo bana
 
Sherehe za Muungano ni sherehe tu kama za mdundiko hazina maana yoyote. Vunja Muungano sasa.

CHADEMAZ = A group of insane people in Juda, na hili lazidi kukudhihirisha hivyo
 
Chadema na nyie sasa mnataka kufanya watu hawana akili ni Nchi gani ambayo haina Public day ya kuazimisha mambo yao ya Kitaifa,kwamba sherehe zote za Kitaifa hazina maana! Acheni Utoto kwani kushindwa Urais 2010 ndio mnune moja kwa moja! Mnatia aibu!
 
Good comment !
 
Kususa ni ishara ya mtu weak, Sasa wakishika nchi wasije wakasusa hata kufanya kazi za kiserekali.
 
CHADEMAZ = A group of insane people in Juda, na ww ni mmoja wapo
You see, stop hallucinating bana... Since when mie ni insane people of Juda??

Mie ni mtanzania na hatuna Yuda kwenye ukoo wetu... BTW, yaani wewe unadhani kila anayekujibu ni chadema siyo??

Hebu kunywa dawa aisee usije ukaishia kuchinja wenzako sasa

Meza dawa dogo
 
Kinachowashangaza watanzania na wenye kuitakia mema nchi hii ( sio CDM ) ni pale ambapo CDM kususia sherehe zote za kitaifa japokuwa hupewa mualiko rasmi. Hivi hizi sherehe zote za kitaifa hazina maana kwenu ? je mngechukua nchi hii na kushika dola mngezifuta ? . Hili kwa CDM halionyeshi picha nzuri kabisa mbele ya watanzania, na wengi wameisha anza kuwadharau na kuwaona kuwa hamkuwa na nia njema na hamna nia njema na nchi zaidi ya maslahi yenu binafsi. Na nukuu maneno ya Mh. Shibuda , mbunge wa CDM Maswa wakati wa kikao cha wabunge wa CDM kilichofanyika Bagamoyo kuwa ‘…………hiki si chama cha kisiasa bali ni kundi la wahuni wachache wenye uroho wa madaraka’ mwisho wa kunukuu. Tafakari zingatia

Tumekusikia.......je nawe umevuwa GAMBA?......mkimaliza kuvua magamba basi ndio mtualike hizo sherehe....MAGAMBA hunuka shombo
 
Chadema na nyie sasa mnataka kufanya watu hawana akili ni Nchi gani ambayo haina Public day ya kuazimisha mambo yao ya Kitaifa,kwamba sherehe zote za Kitaifa hazina maana! Acheni Utoto kwani kushindwa Urais 2010 ndio mnune moja kwa moja! Mnatia aibu!
Good point kama ni kweli wamesusa, but i thought the reason ya wao kutohudhuria ni ule msiba wa shinyanga

I hope wataibuka akina Mkumbo, Regia, Slaa, Mnyika nk waje watuambie
 
Ni design zetnu ninyi mnaofuata ubwabwa kuziona zina maana. Kuna haja gani ya kusherekea wakati maisha ya wakati wa mkoloni wakati wa Tanganyika yanasemakana yalikuwa mazuri kuliko maisha ya Mtanzania baada ya miaka 50 ya uhuru??

we kweli ziro hakuna ukweli katika hilo.labda utuambie ktk nidhamu ya watumishi wa umma na ufisadi.lkn haiwezi kuwa miaka 50 nyuma sawa na sasa ktk uchumi,technology na ......

Binafsi nilishaacha kusherekea sikukuu za kitaifa mpaka siku CCM itakapondoka madarakani.

unamsusia nani?sherehe ni za kitaifa na si za ccm.hata hivyo hupunguzi kitu.kuwa mzalendo.unataka kumsusia ngurue shamba.
 
Wewe ni mtanzania kweli usie jua sherehe za kitaifa ? na wasiwasi na uraia wako, nenda kasome kalenda zimeandikwa humo

Bila shaka mchangiaji aliimanisha ni zipi zingine walizosusia?
 
Kinachowashangaza watanzania na wenye kuitakia mema nchi hii ( sio CDM ) ni pale ambapo CDM kususia sherehe zote za kitaifa japokuwa hupewa mualiko rasmi. Hivi hizi sherehe zote za kitaifa hazina maana kwenu ? je mngechukua nchi hii na kushika dola mngezifuta ? . Hili kwa CDM halionyeshi picha nzuri kabisa mbele ya watanzania, na wengi wameisha anza kuwadharau na kuwaona kuwa hamkuwa na nia njema na hamna nia njema na nchi zaidi ya maslahi yenu binafsi. Na nukuu maneno ya Mh. Shibuda , mbunge wa CDM Maswa wakati wa kikao cha wabunge wa CDM kilichofanyika Bagamoyo kuwa '…………hiki si chama cha kisiasa bali ni kundi la wahuni wachache wenye uroho wa madaraka' mwisho wa kunukuu. Tafakari zingatia

mkuu binafsi ulishiriki vipi katika kusherekea muungano?
 
Bila shaka mchangiaji aliimanisha ni zipi zingine walizosusia?

Kama alikuwa na maana hiyo , basi namjibu hakuna hata moja ambayo CDM waliisha hudhuria tangia baada ya uchaguzi mkuu wa october 2010
 
Back
Top Bottom