CDA yadaiwa kuwahonga,waandishi,mapolisi na madiwani

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
Kuna taarifa tena za uhakika kuwa uongozi wa CDA umewaonga watajwa hapo juu viwanja katika maeneo tofauti tofauti ili kuwaziba midomo.

Ikumbukwe kuwa CDA imekuwa ikilaumiwa sana juu ya ugawaji wa viwanja uliojaa dhuluma na manyanyaso yasiyo mithilika.

Kuna taarifa pia ya kigogo mmoja mkubwa tu wa mkoani hapo,ambaye mpaka sasa anafanya kazi serikalini, kupewa kiwanja na kujengewa nyumba na mamlaka hiyo ya ustawishaji.

Chini ya mamlaka hii ndio tulishuhudia wakazi wa njedengwa wakinyang'anywa ardhi yao kimabavu na polisi.

Kama watumishi hawa muhimu katika kuhakikisha wakazi wanapata haki yao wamekubali kupokea mlungula wa ardhi,je unategemea wananchi watakombolewa na nani?
 
Mkuu,

Weka taarifa vizuri. Mfano, majina ya waanfishi, viwanja walivyopewa viko sehemu gani....taarifa hii inwezakuwasaidia takukuru kama wanataka kufuatilia. Hii ni jf do not worry.
 
Mkuu,

Weka taarifa vizuri. Mfano, majina ya waandishi, viwanja walivyopewa viko sehemu gani....taarifa hii inwezakuwasaidia takukuru kama wanataka kufuatilia. Hii ni jf do not worry.
 
Taarifa takukuru wanayo,unafikiri hawafahamu?
 
CDA wanapata nguvu ya kuwanyanyasa watu wa DODOMA kwasababu ya ujinga wa wagogo. Wangeweza kuamka na kufahamu haki zao hawa CDA ni wepesi kama kamasi. Tatizo ni ujinga, uzembe wa wagogo.
 
So Dodoma.yote ni wagogo??????!!!!!

Haki zao ni zipi kwa mfano juu ya kupata viwanja hebu wasaidie japo tano tu
 
CDA ndo nn?improve ur communication skills mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Taarifa takukuru wanayo,unafikiri hawafahamu?

Wanayo taarifa kwamba kuna rushwa au detailed info with names and allocation as per plot and block and the dubious ways through which they were obtained?????

Weka data mkuu acha maneno
 
CDA ndo nn?improve ur communication skills mkuu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ha ha haaa sio wote wamepitia karakana ya lugha
Capital Development Authority a.k.a Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu..
 
Mambo ya udhurungi haya mnayoanza kuyaleta. Ulichojibu hujakiona katika post yangu?
Mimi nimeleta taarifa. Wahusika watapeana habari,haya mengine nakuachieni.
 
Kuanzisha thread Jf sio kama fb mkuu umeulizwa longform mi nimeweka hapo sasa udhurungi uko wapi au ndo colourblindness!!!!!

Umepanick bro???!!!
 
Chini ya ccm,kila mtu anafisadi kadiri awezavyo,na rushwa sio haramu ktk serikali hii
 
So Dodoma.yote ni wagogo??????!!!!!

Haki zao ni zipi kwa mfano juu ya kupata viwanja hebu wasaidie japo tano tu

  1. Haki ya kupata elimu, wagogo wengi ni maskini na wasiokuwa na elimu
  2. Haki ya kumiliki ardhi, hawa CDA kazi yao ni kupima viwanja na kuuziana wao kwa wao, halafu wanakuja baadae kuwauzia maskini wa Dodoma kwa kiwango kikubwa cha pesa.
  3. Haki ya kushiriki kwenye mambo ya siasa nk. Mkuu wa mkoa wa sasa anafanya sana kazi ya CCM badala ya kuongoza mkoa.
  4. Haki ya kiuchumi na maliasili ya Dodoma. Dodoma imeanza kuchangamka siku za karibuni kwasababu ya kuwepo kwa vyuo vikuu na institution nyingi za serikali na watu binafsi. Japokuwa, sehemu kubwa ya wanaofanya kazi na kumiliki taasisi au biashara hizo ni wageni. Wagogo wao ni kuombaomba tu!!
  5. Haki ya uraia, na kujitambua...wagogo ni watu wasiojitambua kabisa...Ukiwa Dodoma mtu akikuita wewe mgogo nini!!!! yani amekudharau sana.
 
Mkuu,

Weka taarifa vizuri. Mfano, majina ya waandishi, viwanja walivyopewa viko sehemu gani....taarifa hii inwezakuwasaidia takukuru kama wanataka kufuatilia. Hii ni jf do not worry.

Kweli kabisa unadhani Takukuru watafatilia hii issue wakati wao ndo wanakuwaga watu wa kwanza kupewa chao ili wapotee?
Enewei, tuendelee kuwa na hopes

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
  1. Haki ya kupata elimu, wagogo wengi ni maskini na wasiokuwa na elimu
  2. Haki ya kumiliki ardhi, hawa CDA kazi yao ni kupima viwanja na kuuziana wao kwa wao, halafu wanakuja baadae kuwauzia maskini wa Dodoma kwa kiwango kikubwa cha pesa.
  3. Haki ya kushiriki kwenye mambo ya siasa nk. Mkuu wa mkoa wa sasa anafanya sana kazi ya CCM badala ya kuongoza mkoa.
  4. Haki ya kiuchumi na maliasili ya Dodoma. Dodoma imeanza kuchangamka siku za karibuni kwasababu ya kuwepo kwa vyuo vikuu na institution nyingi za serikali na watu binafsi. Japokuwa, sehemu kubwa ya wanaofanya kazi na kumiliki taasisi au biashara hizo ni wageni. Wagogo wao ni kuombaomba tu!!
  5. Haki ya uraia, na kujitambua...wagogo ni watu wasiojitambua kabisa...Ukiwa Dodoma mtu akikuita wewe mgogo nini!!!! yani amekudharau sana.

Ndugu yako anaona udhurungi,hawezi kukuelewa.
 
Ha ha haaaa sawa mkuu your signature has all for this issue
 
Back
Top Bottom