Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
Kuna taarifa tena za uhakika kuwa uongozi wa CDA umewaonga watajwa hapo juu viwanja katika maeneo tofauti tofauti ili kuwaziba midomo.
Ikumbukwe kuwa CDA imekuwa ikilaumiwa sana juu ya ugawaji wa viwanja uliojaa dhuluma na manyanyaso yasiyo mithilika.
Kuna taarifa pia ya kigogo mmoja mkubwa tu wa mkoani hapo,ambaye mpaka sasa anafanya kazi serikalini, kupewa kiwanja na kujengewa nyumba na mamlaka hiyo ya ustawishaji.
Chini ya mamlaka hii ndio tulishuhudia wakazi wa njedengwa wakinyang'anywa ardhi yao kimabavu na polisi.
Kama watumishi hawa muhimu katika kuhakikisha wakazi wanapata haki yao wamekubali kupokea mlungula wa ardhi,je unategemea wananchi watakombolewa na nani?