CD mbili makasha mawili kwanini?

CD mbili makasha mawili kwanini?

Mzee wa ngano

Senior Member
Joined
May 3, 2012
Posts
184
Reaction score
55
Hapa naongelea zaidi hizi bongo movies. Yale makasha yana uwezo wa ku accomodate CD 2 lakini utakuta movie yenye part one na two kila part ina kasha lake. What is this for?.
 
hivi kungekuwa na series za kibongo ingekuwaje kama movie moja ina part 1 na 2
 
Hahaha halafu part moja ina-run 60 minutes halafu unatoa pesa unanunua ya 2. tehetehe
hapa ndio bongo.
 
Back
Top Bottom