Kuna ajali ilitokea kwenye round about moja mjini Moshi, break za bus zili-fail na hilo bus lilikuwa captured na cctv cameras nadhani za bank au duka la mtu, nimeitafuta humu ile post siioni, mwenye nayo atuwekee hapa kukuza archive yetu
Kuna best angu alinisimulia alikua na rafik Ake anaitwa IBRA waliachana sekunde si chini ya dakika Moja......Mpendwa IBRA alikua anavuka upande wa pili wa barabara akapata ajar ya kugongwa na gari mpk mauti.....
Jamaa huwaga anamkumbuka sana rafik Ake IBRA walie kuepo nae within a minute.....
R.I.P IBRA
Kifo ni fumbo hatujui hata nukta.