Hizi kwenye picha ni CCTV camera au SAT FINDER ?, mleta mada hebu tusaidie hiliWapendwa mwenye kujua bei tusaidianeView attachment 411574View attachment 411575
Weka mawasilianoSisi tunauza 120,000 za 3.6 mm..na DVR laki 3 tu karibu ofcn kwetu
ni mpeg2 au mpeg4??Sisi tunauza 120,000 za 3.6 mm..na DVR laki 3 tu karibu ofcn kwetu
Asante kaka mteja akipatikana ntakutafuta![]()
![]()
IP CCTV Camera
Iko Moja tu.
Bei: 160,000/-
Call: 0715-240140
YesHivi inaweza kurecord japo kwa wiki2 mfululizo?