Habari
wanajamvi,
Nahitaji program ya Testout kwa ajiri ya cisco i.e CCNA 640-802 bure au kwa kulipia no problem cha muhimu iwe inafanya kazi.Kama kuna mtu anayo tuwasiliane
Natanguliza shukurani
Regards
Aqua
Nenda www.torrentz.eu download TESTOUT New CCNA 640-802 kuna maelezo yake namna ya kuinstall. www.alphonce.net acha kuwauzia watu materials unazopata bure.Habari
wanajamvi,
Nahitaji program ya Testout kwa ajiri ya cisco i.e CCNA 640-802 bure au kwa kulipia no problem cha muhimu iwe inafanya kazi.Kama kuna mtu anayo tuwasiliane
Natanguliza shukurani
Regards
Aqua
Ok.Kaka nashukuru nitafanyia kazi by kesho mchana nitatoa mrejesho nyuma.Nenda www.torrentz.eu download TESTOUT New CCNA 640-802 kuna maelezo yake namna ya kuinstall. www.alphonce.net acha kuwauzia watu materials unazopata bure.