Hahahha... Yani bado tu hamtaki kuamini kama Samia kawazidi akili na mnataka hata hili kumdondoshea zigo Magu?
Toka july hadi oktoba Mbowe alikuwa anazunhuka nchini kupiga kampeni za kumnadi Lisu!..
Twambie hiyo kesi ilifunguliwa lina na nani.?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Wanajishindia pointi za kisiasa kirahisi sana.
Mataga ndio wamenuna na kufura!Hwataki kuamini kama Samia keshawazidi kete! Ila wanajaribu kujifariji kwamba Magufuli ndio alimkamata Mbowe!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Wanajaribu kumkubali Samia ili kumkomoa Magu ila sasa nature inawapiga chengaHakukuwa na haja ya kumkamata Mbowe, period!
Si 2020, si 2021.
Yeye kakamatwa 2021. Kakamatwa Samia akiwa Rais.
The buck stops with her. Period, end of sentence.
Mataga wengi hawaamini haya maneno yako!Jiwe alishakufa!
Hangaya akamsweka ndani,! Mbowe akakaza fuvu, huku mkimtukana Zitto alipomwambia Samia amsamehe Mbowe.
Mbowe alijifanya Mwamba, nunda kakaza fuvu kwa miezi nane alafu ameenda kusujudu kizembe namna hii?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wakuhurumiwa mkuu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Eee?Mataga ndio wamenuna na kufura!
Rais Samia ameonesha udhaifu mkubwa; sasa itaonekana kesi dhidi wapinzani zina mkono wa Serikali
Kwa kukubali viongozi wa dini kumvaa na kwa uhakika ni kwa ushawishi wa askofu shoo rais samia ameonyesha udhaifu mkubwa. Gharama kiasi gani zimepotea kuendesha kesi dhidi ya Mbowe? Kwanini asisubiri ahukumiwe. Magufulists hakika tumeudhika sana kuona huyo gaidi aliyekua ameanza kampeni mbaya...www.jamiiforums.com
Sijamlaumu!We
Wewe ndio wakuhurumiwa. Juzi ulimwita Mbowe gaidi leo unamlaumu kwanini ameenda kumuona Samiah aliyemuweka ndani. Unahitaji ushauri nasaha.
Sasa kama ilifutwa hii nyingine iliyomfanya akae rumande miezi 8 inakuwaje ilifunguliwa na jiwe?Kesi ya awali ilifutwa, ndio ikafunguliwa nyingine ambayo Mh Mbowe akaunganishwa. Tatizo unaongea bila kujiridhisha.
Sukuma gang ndio wamefanya Mbowe aende kusujudu kwa Hangaya?Sukuma gang naona unataka kulia Mbowe ametoka. Mlikuwa mnajitekenya kuwa atafungwa.[emoji706][emoji706][emoji706]
Wanajaribu kumkubali Samia ili kumkomoa Magu ila sasa nature inawapiga chenga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
[emoji1] hii nchi ngumu saa bwasheeAnakukamata anakusweka ndani baada ya kulalamikiwa na watu wengi anakutoa mwenyewe afu watu wajinga wajinga wanaanza kuimba, Tanzania imepata chifu msikivu mwenye huruma, na upendo, asingekuwa chifu angeozea ndani nyooolooo!!![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Ona mataga wenzako wanachosema!Eee?
Kwamba mataga ndio walikamatwa wakatiwa ndani na Mbowe baada ya kusota rumande miezi 8 wakatolewa na kwenda kusujudu kwa mbowe?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Sauti zenu zilisaidia nini pindi anasota sero? Aje azungumze na mioga isiyoweza kuandamana hata dakika 2, mbowe yajenge na Maza akutupie kipande Cha keki na wewe upoze machungu. Sio miaka nenda Rudi we ni kutetea mapumbavu yaliyojikatia tamaa.Inauma lakini ukweli, alitakiwa akutane na sisi tuliopaza sauti kwanza.
Nahisi ameshafika bei kama mashinji au wale covid19
Sasa kama ilifutwa hii nyingine iliyomfanya akae rumande miezi 8 inakuwaje ilifunguliwa na jiwe?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Sukuma gang ndio wamefanya Mbowe aende kusujudu kwa Hangaya?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Una uhakika? Lissu hakutaka Mbowe atoke mahabusuWewe ndio unaumia, Ni juzi hapa mlikuwa mnamponda Lissu kuwa anataka kuingilia Uhuru wa mahakama kwa kamuomba Rais amtoe Mh Mbowe. Leo Tena unadai anaumia, tukueleweje wewe binadamu. Kuwa na msimamo mmoja. Na kikao Cha Lissu Ni moja ya sababu za nolle prosequi kutolewa.
Hiyo ya awali ilifunguliwa wapi na ilikuwa namba ngapi?Kesi ya awali ilifutwa, ndio ikafunguliwa nyingine ambayo Mh Mbowe akaunganishwa. Tatizo unaongea bila kujiridhisha.
Unachanganya mambo, labda kama unataka kusema CCM inakwenda kuikabidhi chadema power vinginevyo unajaribu kulinganisha vitu tofauti kabisa.
Chadema ni Chama cha Upinzani hakihitaji favor kutoka CCM kwani CCM ni Mpinzani wa chadema hivyo kwa akili ya kawaida kusema kwamba CCM ina nia nzuri na chadema ni kujidanganya .
Mbowe ameachiwa kwa masharti ambayo yeye mwenyewe kayakubali na ndio maana katolewa, na hayo masharti asipoyafwata anarudishwa ndani na kesi kuanza upya, kwa kifupi hakuna upinzani Tanzania Mbowe ameuza mechi hivyo stori zako za Mandela au sijui Kenyata hazihusiani hapa kabisa.