CCM’s svengali hold

Mbo
Mbowe kafungwa wakati Magufuli keshakufa na kuoza [kwa maneno yao].

Magufuli hahusiki na chochote kuhusu Mbowe kufungwa!

Mbowe hakufungwa, alikuwa Rumande bila dhamana. Kuwa makini na unachosema.
 
Nyani anasahau kwamba dola, i.e. CCM imeshika vyombo vyote vya usimamizi wa sheria.
Upinzani hawana polisi, mahakama etc- wafanyeje?
Kwa mfano kiongozi wa upinzani atakataaje kukamatwa na polisi na kupelekwa mahakamani kwa mashitaka ya kuchongwa?
Walichofanya CDM ni sahihi kabisa kuweka mawakili waliobobea walioweza kuusambaratisha ushahidi wa Jamhuri hadi serikali ikanywea na kuinua mikono.
CDM wameweka precedent nzuri sana nchini katika mustakabali wa upinzani.
Walisema kama ni mahakama basi tuko tayari sana sana.
Ni fundisho kubwa sana kwa dola ya CCM. Mnastahili pongezi.
 
Namsikitikia Tundu Lissu maana alipo anaumia

Wewe ndio unaumia, Ni juzi hapa mlikuwa mnamponda Lissu kuwa anataka kuingilia Uhuru wa mahakama kwa kamuomba Rais amtoe Mh Mbowe. Leo Tena unadai anaumia, tukueleweje wewe binadamu. Kuwa na msimamo mmoja. Na kikao Cha Lissu Ni moja ya sababu za nolle prosequi kutolewa.
 

Kweli Mbowe alikimbia nje ya nchi? Unatetea nini? Hii case ni ya Hangaya na shida ni katiba na kama ingelikuwa ni kuhusu siasa za Magufuli angeifuta toka mwanzo maana kipindi chake ndio ilipamba moto na kupelekwa kwa kasi....
Shida ilikuwa kudai katiba! Kwanini unafikiri case haijafutwa bali imesitishwa?
 
Sikufikiria hii ya jana ingekua imeumiza watu wengi kiasi hiki.
 
Wahenga wa Kati (si zamani sana) walinena "Siasa ni mchezo mchafu"

Yaani wanakutengenezea kosa harafu wanakusamehe na wewe unawasifia harafu wanakutumia

Hashtag Mbowe siyo Gaidi

Nikusahihishe, Mh Mbowe hajasamehewa maana hakua na hatia , Bali amefutiwa mashtaka. Kumbuka alikuwa anajiandaa kwenda kujitetea mahakamani ndio nolle prosequi ikaletwa.
 
Na wewe ni miongoni mwa mliochukizwa na mbowe kwenda ikulu jana? Poleni sana
 
Jiwe alishakufa!

Hangaya akamsweka ndani,! Mbowe akakaza fuvu, huku mkimtukana Zitto alipomwambia Samia amsamehe Mbowe.

Mbowe alijifanya Mwamba, nunda kakaza fuvu kwa miezi nane alafu ameenda kusujudu kizembe namna hii?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 

Wewe nawe unajichanganya. Nimesema source ya case imeanzia kwa Magufuri Ni vile alifariki ghafla ndio maana muendelezo wake umemkuta Hangaya. Na Hangaya akawa briefed na vyombo vya usalam taarifa za uongo naye akajaa mzima.

Halafu, kwenye kesi hakuna kusitisha. Kuna kufutiwa mashtaka na kukamatwa upya au kufutiwa mashtaka na kesi kukoma. Na Kama mashtaka watataka kifungua kesi wataaanza kwenye trial de Novo.
 
Post yako imeongozwa na chuki kwa Mbowe na Chadema. Wewe ni mmoja ya watu walioumia sana kuona Mbowe na Chadema wamefanikiwa kwenye hii kesi. Na bado.... kuna mengi yanakuja. Mwaka huu mtakufa kwa kihoro.
Mbowe amefanikiwaje kwenye hii kesi?

Kusujudu? Ndio kufanikiwa huko?

Sasa si bora angesujudu tu toka day 1 kuliko kukaa rumande miezi yote 8?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe ni mwamba wa siasa nchini... just wait and see. Hujui waliongea nini. We unadhani Mbowe ni mjinga ameenda kupiga picha ikulu? Na jiulize kwanini kila mmoja alisisitiza kuaminiana? Wanaaminiana juu ya nini? Kuna makubaliano yalifikiwa
 
Nyie ndio wapumbavu mnaosababisha hata Mbowe kwenda kusujudu kwa Hangaya pamoja na kujifanya nunda!

Sasa Zitto alipomwambia Samia amsamehe Mbowe mkaanza kumtukana eti amsamehe kwa kosa gani!

Unaona sasa Mbowe kakaza weee mwishowe kaona wafuasi wake hawamjali akaona aende kusujudu.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Talk sense to a fool and he will call you foolish. You have nailed it.
Sana sana watakutukana na kuku ignore lakini umesema ukweli.
Hakuna credible upinzani Tanzania. Kuna part time politicians wenye kusimamia maslahi yao kwanza.

Also a fool might think he is wise because of his foolishness.

Kwako ndio hakuna credible upinzani. Maana umefungwa macho na kile unachokiona unalazimisha wengine wakione. Kungekuwa hakuna credible upinzani risasi yafuatayo yasingetokea.

1. Kulima wapinzani risasi. Mf, Lissu
2. Kukataa Tume huru.
3. Kukataa katiba mpya.
4. Kuzima mtandao kwenye 2020 General Elections.
5. Kuengua wagombea wa upinzani kwenye chaguzi za 2019/2020.
6. Pia, kuzuia mikutano ya kisiasa kwa wapinzani, Hadi ya ndani refer Mh Mbowe alivyokamatwa Mwanza.

Kama upinzani ni dhaifu kwanini uhangaike kufanya ya juu. Tatizo hasira zenu na chuki zimewapofusha kuuona ukweli.
 
Hahahha... Yani bado tu hamtaki kuamini kama Samia kawazidi akili na mnataka hata hili kumdondoshea zigo Magu?

Toka july hadi oktoba Mbowe alikuwa anazunhuka nchini kupiga kampeni za kumnadi Lisu!..

Twambie hiyo kesi ilifunguliwa lina na nani.?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: nao

Wewe ndio mpumbavu, anaye sujudiwa Ni Mungu tu. Au ukitaka kujua maana ya kusujudu nenda kwa wafuasi wa mfalme Zumaridi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wakuhurumiwa mkuu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mataga ndio wanasema hivyo!
 
Kesi ilifunguliwa July 2020 na Mbowe akakamatwa July 2021???

Only in Tanzania where you’ll find this kind of fuckery [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hwataki kuamini kama Samia keshawazidi kete! Ila wanajaribu kujifariji kwamba Magufuli ndio alimkamata Mbowe!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe amefanikiwaje kwenye hii kesi?

Kusujudu? Ndio kufanikiwa huko?

Sasa si bora angesujudu tu toka day 1 kuliko kukaa rumande miezi yote 8?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Sukuma gang naona unataka kulia Mbowe ametoka. Mlikuwa mnajitekenya kuwa atafungwa.🚮🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…