CCM Zanzibar: Hatutaunda tena Serikali ya Kitaifa Zanzibar

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Posts
5,536
Reaction score
2,268
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema hakitaunda tena Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na baadhi ya washiriki wake kuvuruga utaratibu na misingi ya kuanzishwa kwa serikali hiyo.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi Zanzibar, Waride Bakari Jabu wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini hapa jana.

Waride alisema makubaliano yanayotokana na kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa sasa yameanza kuvurugwa na kukiukwa kidogo kidogo katika misingi yake mikuu huku kauli za chuki na uhasama zikitawala.

Alikumbusha viongozi wa vyama vya siasa kwamba sababu za kuwapo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni tofauti za kisiasa na kauli za chuki ambazo zilisababisha kuwepo kwa malumbano ya kisiasa katika majukwaa ya kisiasa.

Alisema kwa bahati mbaya, misingi hiyo sasa imeanza kuyumba na kuporomoka kidogo huku matusi na kejeli kwa viongozi wakuu wa serikali akiwemo Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, zikichukua nafasi kubwa.

"Chama Cha Mapinduzi kimesikitishwa sana na kauli za chuki na uhasama, zinazotolewa na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad ambazo zinaashiria kuyumba kwa serikali ya umoja wa kitaifa na kurudisha chuki na uhasama," alisema.

Waride alifafanua kwamba CCM ambayo ni mshirika anayeunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa, inatamka bayana kwamba haipo tayari kushiriki kuunda serikali hiyo baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Alifahamisha CCM haikuwa na sababu ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa sababu ilipata ushindi wa kutosha, uliowafanya kuunda serikali. Hata hivyo ilifanya hivyo kwa ajili ya kukidhi matakwa ya sheria.

"CCM haioni sababu tena ya kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa kwa sababu wenzetu CUF wamekuwa wakitoa kauli za chuki na uhasama zinazorudisha nyuma matarajio ya wananchi wa kuwepo maridhiano ya kisiasa," alisema.
========================

Hatutaunda tena Serikali ya Kitaifa Z'bar, yasema CCM.

waride-bakari-jabu_300_176.jpg

Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi Zanzibar, Waride Bakari Jabu

Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliundwa kisheria mwaka 2010 baada ya vyama vikuu vya siasa visiwani hapa, CCM na CUF, kujadiliana na hatimaye kufikia mwafaka wa kugawana madaraka, kuondoa siasa za chuki, zilizotokana na machafuko ya mwaka 2005 wakati wananchi walipokuwa wakipinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Rais.

Katika hatua nyingine, Kamati Kuu ya CCM itakutana Jumamosi ijayo kujadili mambo mbalimbali. Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari, ilieleza kuwa vikao vingine muhimu vya chama hicho, vinaendelea kufanyika kwa ajili ya kikao hicho cha juu.

Chanzo: Habari leo
 
2015 CCm kitakuwa ni chama cha upinzani,

Bora wameanza kulijua hilo mapema kwa sasabu chama tawala CUF na UKAWA havitokubali kuwashirikisha CCM katika serikali zao.

Huyo mwenezi safi sana kauona na kausoma upepo.

Ameabza kujiandaa kisaikolojia kuwa chama pinzani
 
Huu umoja haukuundwa na CCM wala Bi Waride na machuchu yake, Umoja huu upo kwa ridhaa ya wananchi wa Zanzibar na upo kisheria ikibidi kuvunjika lazima waulizwe wazanzibari kwa kura na siyo chama cha Mapinduzi kwa matakwa yake tu.
 
...Alifahamisha CCM haikuwa na sababu ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa sababu ilipata ushindi wa kutosha, uliowafanya kuunda serikali. Hata hivyo ilifanya hivyo kwa ajili ya kukidhi matakwa ya sheria.....
Kwa hivyo wamebadilisha sheria?
 
Unaweza kukuta hata hajui ni kwa nini SUK iliundwa. Halafu anavyosema CCM haiko tayari kuunda tena inaonyesha kwa akili yake ni kuwa CCM iko pale kutawala milele. Na hiyo sio yeye pekee bali watu wengi ndani ya CCM bado wana mawazo ya miaka ya 1960's pamoja na JK kuwaambia wajiandae kisaikolojia lakini wapi!
 
Nadhani huyo mama hajui anachoongea na hili indio tatizo la kutojipanga kabla ya kusema.Nadhani angesema chama chake kitapeleka malalamiko yake kwa wananchi waamue tena juu ya muundohuo.Chama kimojawapo hakiwezi kuvunja muundo huo bila kuwashirikisha wananchi wote.Viongozi wengine bure kabisa.
 
Ngoma inogile...ikianza hivi leo hadi kufika hio octoba sijui hali itakuwaje?
 
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema hakitaunda tena Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na baadhi ya washiriki wake kuvuruga utaratibu na misingi ya kuanzishwa kwa serikali hiyo.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi Zanzibar, Waride Bakari Jabu wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini hapa jana.

Waride alisema makubaliano yanayotokana na kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa sasa yameanza kuvurugwa na kukiukwa kidogo kidogo katika misingi yake mikuu huku kauli za chuki na uhasama zikitawala.

Alikumbusha viongozi wa vyama vya siasa kwamba sababu za kuwapo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni tofauti za kisiasa na kauli za chuki ambazo zilisababisha kuwepo kwa malumbano ya kisiasa katika majukwaa ya kisiasa.

Alisema kwa bahati mbaya, misingi hiyo sasa imeanza kuyumba na kuporomoka kidogo huku matusi na kejeli kwa viongozi wakuu wa serikali akiwemo Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, zikichukua nafasi kubwa.

"Chama Cha Mapinduzi kimesikitishwa sana na kauli za chuki na uhasama, zinazotolewa na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad ambazo zinaashiria kuyumba kwa serikali ya umoja wa kitaifa na kurudisha chuki na uhasama," alisema.

Waride alifafanua kwamba CCM ambayo ni mshirika anayeunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa, inatamka bayana kwamba haipo tayari kushiriki kuunda serikali hiyo baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Alifahamisha CCM haikuwa na sababu ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa sababu ilipata ushindi wa kutosha, uliowafanya kuunda serikali. Hata hivyo ilifanya hivyo kwa ajili ya kukidhi matakwa ya sheria.

"CCM haioni sababu tena ya kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa kwa sababu wenzetu CUF wamekuwa wakitoa kauli za chuki na uhasama zinazorudisha nyuma matarajio ya wananchi wa kuwepo maridhiano ya kisiasa," alisema.
========================

Chanzo: Habari leo

Mwenye kujua naomba anikumbushe,yule kijana Sadifa aliyesema CUF ni NGO na akamtukana sana maalim Seif kule bungeni majuzi yuko chama gani?
Na yule mama mnene mnene anayeitwa Asha Bakari ambaye kwenye bunge la katiba alisema hawawezi kuwapa CUF serikali kwenye karatasi ya kura yuko chama gani vile?
 
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema hakitaunda tena Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na baadhi ya washiriki wake kuvuruga utaratibu na misingi ya kuanzishwa kwa serikali hiyo.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi Zanzibar, Waride Bakari Jabu wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini hapa jana.

Waride alisema makubaliano yanayotokana na kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa sasa yameanza kuvurugwa na kukiukwa kidogo kidogo katika misingi yake mikuu huku kauli za chuki na uhasama zikitawala.

Alikumbusha viongozi wa vyama vya siasa kwamba sababu za kuwapo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni tofauti za kisiasa na kauli za chuki ambazo zilisababisha kuwepo kwa malumbano ya kisiasa katika majukwaa ya kisiasa.

Alisema kwa bahati mbaya, misingi hiyo sasa imeanza kuyumba na kuporomoka kidogo huku matusi na kejeli kwa viongozi wakuu wa serikali akiwemo Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, zikichukua nafasi kubwa.

"Chama Cha Mapinduzi kimesikitishwa sana na kauli za chuki na uhasama, zinazotolewa na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad ambazo zinaashiria kuyumba kwa serikali ya umoja wa kitaifa na kurudisha chuki na uhasama," alisema.

Waride alifafanua kwamba CCM ambayo ni mshirika anayeunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa, inatamka bayana kwamba haipo tayari kushiriki kuunda serikali hiyo baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Alifahamisha CCM haikuwa na sababu ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa sababu ilipata ushindi wa kutosha, uliowafanya kuunda serikali. Hata hivyo ilifanya hivyo kwa ajili ya kukidhi matakwa ya sheria.

"CCM haioni sababu tena ya kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa kwa sababu wenzetu CUF wamekuwa wakitoa kauli za chuki na uhasama zinazorudisha nyuma matarajio ya wananchi wa kuwepo maridhiano ya kisiasa," alisema.
========================

Chanzo: Habari leo

kwa hiyo wana uahakika wa kupita si ndio
 
Mbona raha turudi kule tuliko toka nasisi tumepigika hata hatuoni raha duniani
 
2015 CCm kitakuwa ni chama cha upinzani,

Bora wameanza kulijua hilo mapema kwa sasabu chama tawala CUF na UKAWA havitokubali kuwashirikisha CCM katika serikali zao.

Huyo mwenezi safi sana kauona na kausoma upepo.

Ameabza kujiandaa kisaikolojia kuwa chama pinzani
CUF ya lipumb naijua, UKAWA ndio nini?
 
Huu umoja haukuundwa na CCM wala Bi Waride na machuchu yake, Umoja huu upo kwa ridhaa ya wananchi wa Zanzibar na upo kisheria ikibidi kuvunjika lazima waulizwe wazanzibari kwa kura na siyo chama cha Mapinduzi kwa matakwa yake tu.
Ma CCM ni maropokaji sana mkuu.yanashindwa kutambua kua serikali ya mseto ipo kisheria na kama kuifuta itafutwa kisheria na pia kupitia kura za maoni za wazanzibar.
 
Keshajua kuwa hawana nafasi tena CCM kuitawala Zanzibar ni muda wa mabadiliko
 
Back
Top Bottom