Propaganda za ajabu sana. Kisa cha chadema nini? 2015 kulikuwa na CCM B (wakina lowassa Sumaye Kingunge na wafuasi wao) CHADEMA, CUF, NCCR, nk. Wakatengeneza kitu kinaitwa UKAWA, Ilitisha my frnd. Ikawapa CHADEMA Viti vingi na Mbowe kuwa KUB. Sasa chadema bila lowassa kingunge Sumaye kimtishe li CCM na JPM wake. Sidhani tusubiri kama tutapata 15% za kura Urasi. Na viti zaidi ya vitano vya ubunge