Hao wote ni product ya Chadema, kwanini tusiipongeze Chadema angalau kwa kuwa chuo bora cha wanasiasa.Selasini Katibu mkuu Nccr mageuzi, Lwakatare Katibu mkuu Cuf and soon Lema Katibu mkuu TLP......... Chadema lazima waombe pooo!
Chadema mnaweza kuandaa viongozi!Hao wote ni product ya Chadema, kwanini tusiipongeze angalau kwa kuwa chuo bora cha wanasiasa.
Kipindi cha wasira ulikuwa utawala wa shamba la bibi.Sio wa kwanza wewe kusema hivyo. Alianza Wassira kunako 2010. Akapotea yeye kwanza. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu mpaka October tena?? Kuna wenzio wanadai imekufa lakini kila siku haiwatoki mdomoni waoAndaeni propaganda za kujifariji ila October ni mazishi rasmi ya Chadema
Mshakufa zamaani mpo monchwari mloganzila,mazishi ni October saa kumi jioni.usikose kwenye mazishi mkuu.Mkuu mpaka October tena?? Kuna wenzio wanadai imekufa lakini kila siku haiwatoki mdomoni wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, so kabla ya October kwa mujibu wako bado kipo hai? Chedema kipo na kitakuwepo milele yote, jiandae kisaikolojia, ni chama cha wananchi kutoka moyoni.Mshakufa zamaani mpo monchwari mloganzila,mazishi ni October saa kumi jioni.usikose kwenye mazishi mkuu.
Mwaka 2015 CHADEMA na vyama vingine vya CUF, NCCR - Mageuzi na NLD, viliunda umoja uliojulikana kama UKAWA dhidi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani.
Mwaka huu 2020 CCM imeunda muungano wake na vyama vingine vya CUF, NCCR na TLP dhidi ya CHADEMA.
Ina maana CCM pamoja ya kuwa ina dola imeshindwa kupambana na CHADEMA peke yake hadi inaazima majeshi ya kukodi? Halafu bado kuna watu wanasema CHADEMA imekufa.
Picture speeks a thousand words.
ACT-Wazalendo wanabaki kama watazamaji au swing voters?
Chadema ni chama kipo moyoni mwa watanzania ni ngumu sana kubadilisha mapenzi ya moyoni.
Vijana wa ccm tusubiri watasemaje
Ule mziki wa 2015 mpaka leo CCM wameingiza ubaridi hawatamani kabisa kusikia neno CDM.
October saa 10?Mshakufa zamaani mpo monchwari mloganzila,mazishi ni October saa kumi jioni.usikose kwenye mazishi mkuu.
Mkuu,kama sheria ingeruhusu matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani,basi amin amin nakwambia sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine.Ule mziki wa 2015 mpaka leo CCM wameingiza ubaridi hawatamani kabisa kusikia neno CDM.
Malizia na Mnyika PM wa JMT.Selasini Katibu mkuu Nccr mageuzi, Lwakatare Katibu mkuu Cuf and soon Lema Katibu mkuu TLP......... Chadema lazima waombe pooo!
Chadema bado inanguvu kubwaMkuu CCM ya sasa hata isipopiga kampeni ushindi ni 98% Kwasababu Chadema imechokwa sana na Watanzania kwa tabia zake kutumika na Mabeberu.
Ni wazi hatutakuwa na mpinzani mwenye ushawishi km Lowasa kwa miaka 50 ijayo.
Check polisi wanaipa ccm ushindi ccm ikishida haithamini kuboresha maisha ya polisiSisemu bila polisi ni sawa na garo bila mafuta. Haiweze kwenda kabisa. Wallahi tallahi
Mtesi mkubwa wa Slaa na si mtesi mkubwa wa Watanziania!!!?Dr. Slaa anajitambua, yuko Kama Hawa wabunge wanaohama. Dr. Alipima Kati ya Mbowe na CCM nani mtesi wake mkubwa. Akaona CCM Bora kuliko hao mafisadi wa chadema wanaangalia hela tu na siyo malengo ya upinzani. View attachment 1464416
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,usipoteze muda wako wa maana kubishana na huyo msukule.Ok, so kabla ya October kwa mujibu wako bado kipo hai? Chedema kipo na kitakuwepo milele yote, jiandae kisaikolojia, ni chama cha wananchi kutoka moyoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko sahihi kwa kiasi flani.Quinine,
CCM imeshatambua kwamba inapambana na wananchi, siyo Chama.
Nguvu na ujumbe wa vitisho ambavyo wamekuwa wakipewa CHADEMA ni ujumbe kwenda kwa wananchi kwamba hata mtumie mbinu gani hampati kitu. Ujumbe huo pia unawalenga walio ndani ya CCM kwamba mkijifanya ku side na wananchi mjue hampo salsma, sasa hivi hata Jaji Warioba, Kabudi na akina Polepole wameshaikana ile rasimu ya katiba ya wananchi ambayo kwao walishaiona kama ni misahafu.
CHADEMA inapinzwa tu na wananchi wengi waliochoka, sababu CHADEMA kama chama hawana jipya wala tofauti na NCCR, CCM na CUF, kamavwangekuwa na kitu cha tofauti kamwe wasingefanya mabadiliko ya dakika za nyongeza kwenye nafasi ya mgombea wa nafasi ya urais.
Siku zote nitaendelea kumheshimu sana Dr. Slaa kwa mikakati na nguvu aliyoitumia kuijenga CHADEMA na kupelekea wananchi kuamua kukiunga mkono, pili msimamo wake wa kusimamia anachokiamini. Tatu utiifu wake kwa mamlaka zake za uteuzi, tuliona alivyokua mtiifu na mnyenyekivu kwa Mbowe na sasa alivyo kwa Magufuli.
CHADEMA haina cha tofauti, watu ndiyo wameamua kuichagua na nguvu inayotumika ni dhidi ya watu diyo CHADEMA. Kama kuna point itainekana CHADEMA ni threat kiasi hicho basi ingefutwa kitambo tu.
Chadema bado inanguvu kubwa