Mbona nasikia kaamua kuachia ngazi kwa hiari kuwapisha wengine? Huko mbele kuna taflani na wengine hawataki kuwa sehemu ya historia ya yatakayotokea.
Nashukuru kwa kujitokeza haraka kuweka kumbukumbu sawa katika jukwaa hili.
Tunachotaka ni uthibitisho wa habari, tusije tukawa tunajadili habari za vijiwezi ambazo hazijahakikiwa ukweli. Tunachotaka kuhakikishiwa ukweli wa habari hii ndio uandishi unaotakiwa, na hata kama mleta mada kakonyezwa na mshikaji wake atueleze hivyo ili tuijadili kadiri ya uzi ulivyopatikana.
Uamuzi mzuri wa Kinana. Kila lenye mwanzo halikosi mwisho.
Kinana ni mwanasiasa mzoefu na makini. Miaka 25 ni mingi. Uamuzi wa kupumzika siasa ni wa busara na unafaa kuigwa. Nitamkumbuka kwa ushauri na nasaha zake kama mlezi wa Chama Mkoa wa DSM.Mh. tujipe muda kuna mengi nyuma ya pazia, tafakari there is something behind the screne
dr f.ndungulile ni mapema sana kumshukuru Nnauye Jr kwa madai ya kuweka kumbukumbu sawa kwani hajaainisha chanzo cha hayo maneno anayodai ni ya Kinana.
Hata hivyo Kinana atakuwa amewahi kusoma alama za nyakati hataki jumba bovu lianguke nae akiwemo. Wewe tu ndio bado umeshindwa kufanya maamuzi magumu pamoja na kuzibwa mdomo na chama chako cha ccm, mbunge uliyechaguliwa na wananchi unazuiwa kufanya mikutano na wewe umeridhika kama vile mambo yako shwari!
Al sadat said:Mjumbe wa Almashauri kuu na kamati kuu ya ccm captain Abdulharaman kianana amejiuzulu nafasi zota alizonazo ndani ya ccm kwa madai ya kuachana na siasa uchwara.