Nashukuru kwa kujitokeza haraka kuweka kumbukumbu sawa katika jukwaa hili.
Mkuu linki hiyo hapo chini...can we put the link to that thread ya uzushi? li mambo yaende vizuri bin mswano
inaelekea jk anamkoromea? halafu ona sitta anavomshangaa!!
Duh! Hii picha imeniacha hoi...ningekuwa Waziri wa Fedha nikitoka hapo nafanya kama alivyofanya Kinana!
inaelekea jk anamkoromea? halafu ona sitta anavomshangaa!!
Uzushi dhidi ya Kinana kutogombea unasikitisha!
Hapa labda mimi ndiye ni mzito wa kuelewa lakini kama Kinana mwenyewe kaamua kutogombea, huo uamuzi wake unakuaje tena uzushi?Uamuzi wa Kinana kutogombea umepokewa kwa hisia tofauti...blah blah blah
...Uzushi mwingine ni wa ajabu sana..
Mkuu kwenye hiyo picha JK ni wazi alikuwa anazungumza maneno mbofumbofu,huyo waziri wa fedha hadi anaonekana kama vile anamtuliza.Wengine wameshtushwa kama hawaamini macho yao wala masikio.Pinda ndo yuko defensive kama vile hataki hata kuingilia hiyo maneno,si unajuwa wanasema "body language", iko kwenye "defensive mode"
Duh! Hii picha imeniacha hoi...ningekuwa Waziri wa Fedha nikitoka hapo nafanya kama alivyofanya Kinana!
Mkuu kwenye hiyo picha JK ni wazi alikuwa anazungumza maneno mbofumbofu,huyo waziri wa fedha hadi anaonekana kama vile anamtuliza.Wengine wameshtushwa kama hawaamini macho yao wala masikio.Pinda ndo yuko defensive kama vile hataki hata kuingilia hiyo maneno,si unajuwa wanasema "body language", iko kwenye "defensive mode"
Kaazi kwelikweli, i wish ningejuwa ni maneno gani hiyo.Siyo siri hakuna ukawaida hapo,sura zao zote hadi ya JK zinaonyesha kulikuwa na kamsuguano hapo.
Kwenye maslahi yake hacheki na mtu.Tungejuwa agenda za mkutano,pengine tungeweza kukisia atakuwa akimwambia nini,lakini ninavyoifahamu JF,itakuja kujulikana tu one day tatizo ni kitu gani,kwasababu hapo ni wazi anamkoromea.Si waziri wa fedha huyu?Sio hilo tu, mimi kwa mara ya kwanza nimemwona (public photos) JK akizungumza bila kucheka!!!
Wewe mbunge wetu Huku mbagala hatukuoni kutwa ni kwenye mitandao ya kijamii na kuzindua nyimbo za injili 2015 utamkoma nyaniNashukuru kwa kujitokeza haraka kuweka kumbukumbu sawa katika jukwaa hili.
Huku jimboni tunajuta kuwa na mbunge mnafiki Kama huyu tunawaonea wivu kawe na ubungoKutokana na chama chenu kilivojaa hila, uwongo, mbinu chafu, wizi, ufisadi u-kolimba nk chochote kinachosemwa na makada wenu hakuna anayeamini ni cha kweli au kinatoka rohoni!Kifupi CCM imekosa credibility mbele ya umma, mfano hata wewe mwenyewe bungeni mishipa ilikutoka ukipigania swala la kigamboni hadi ukafukuzwa nje ya bunge leo hii upo unaitetea ccm hiyohiyo!!shame on you sijui wewe doctor wa nn??
Huku jimboni tunajuta kuwa na mbunge mnafiki Kama huyu tunawaonea wivu kawe na ubungo
Candid ScopeAL sadat
Mwana Mpotevu
Ieleweke kuwa watu hatubishi, kinachotakiwa katika uandishi mtu jitahidi kueleza source ya habari iwe kama ni kama mojapo ya:
Hata kama chanzo kamili hakija kamilika inatupa fursa ya kuijadili huku tukiwa na tumaini fulani kuwa habari itakuja kamilika lakini tunaweza kujadili.
- Tetesi toka mjengoni
- Mhusika toka mjengoni katipa tip
- Habari zilizovuja toka mjengoni
- Taarifa toka kwa Nape
- Nukuru kutoka chombo cha habari
- Nk.
Habari hii ilivyoletwa haikuwa kamili hasa kuelezea wapi alikopata taarifa hizo ingawa habari yenye ina mvuto sana.
Tunapojaribu kuelezea hayo ni kwa nia njema ya kuelimishana, nafasi nyingine anapoleta habari iwe kamili au breaking news walao iwe na information za source.
That's all what we'r talking about.
Tujitahidi kuipa Jamii Forums hadhi stahiki kama moja ya source kubwa ya habari hapa nchini.
Huku jimboni tunajuta kuwa na mbunge mnafiki Kama huyu tunawaonea wivu kawe na ubungo
Chezeya JK wewe!Hii maneno(raia mwema),walimquote Makongoro Nyerere enzi zilee za kuvuana gamba wakati Nape na JK walipolikoroga ili kuwafanyia usanii wananchi kuwa magamba si chama cha kifisadi?Nape unatakiwa kujua kuwa si kila mtanzania ni mjinga. Tunafahamu kuwa wanachosema wanasiasa na wanachofanya si lazima vifanane. wewe mwenyewe unajua vizuri sana kuwa ndani ya chama kuna watu wengi ni wa kwanza kuimba kuhusu rushwa, uhalifu na ufisadi. Lakini ndio hao hao wameficha mapesa Usiwisi, ndio hao hao wahalifu wakubwa na ndio hao hao mafisadi wakubwa.
Knowing mzee Kinana persoally, i would say that, whether he said or not, or whether he used exact words as you quted him, deep inside he knows what he is doing.
It does not take Kinana's words to know that tupo kwenye siasa uchwara, it does not need a colleague diploma to know that we are in shambles.
Believe me brother, wote wenye akili timamu na wenye busara kama Mzee kinana, watajiweka pembeni kwa busara, na sio kwa kutoa kauli chafu na kujeopardize future ya chama.
Ukiangalia mazingira ya zengwe, majungu, siasa za uswahili na fitna yaliyopo sasa kwenye meli inayozama, utajua kabisa kuwa wenye hofu na mabadiliko wanafanya kila njia na kutojali aibu na dhalili so as they can save thier necks. Lakini wale waiso na hofu na wenye heshima zao wako pembeni tuli wanawaacha wenye hofu kutapata.
My brother jitahidi sana kufanya kazi yako in a more professional manner, if you put yourself in the middle of this madness of who said what and what meant what, yopu will be thriowing yourself into a deep ditch.
Kina Kinana (bila kujali kama ni msafi au mchafu) wanatufundisha siasa kutokana na hatua wanazochukua kwenye mazingira kama haya. Best thing to do is to watch and learn.
Nape bado una hofu?hata kama siku moja Mungu alipata kukutana na shetani barabani." Akasema kule site (kwenye eneo la ujenzi ambako yeye ndiko anakoshinda akichanganya zege na kupiga bati) wanasema na wanataka watuhumiwa wote wa ufisadi watoke kwenye nafasi zao.
"Lowassa ni ndugu yangu.Sina matatizo naye.Najua ananipenda, nami nampenda.Lakini kule site wanasema hapana.Atoke. Tena nawe Mweyekiti ulipokwenda Monduli, ukainua mkono wake juu, ukasema hujapata kuona kama yeye (Lowassa), kule site wakauliza, sasa hii ndiyo nini?
"Rostam simfahamu vizuri. Ninakotembelea yeye hawezi kuja na mimi siwezi kwenda anakotembelea. Sina ugomvi naye.Lakini kule site wanasema naye hapana. Ulipokwenda Igunga ukamuamsha mkono ukasema ni kama timu ya mpira iliyokamilika watu kwenye site wakauliza sasa hii ndiyo nini?
"Nasikia Chenge wanamwita Mzee wa Vijisenti. Ni ndugu yangu. Sina hakika kama anavyo vijisenti kiasi hicho. Lakini kwenye site, si mimi, watu wanasema naye hapana, " alikaririwa akisema Makongoro.
Mifano aliyoitaja Makongoro kwa kumhusisha Kikwete ilijitokeza wakati akiwa katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, katika majimbo ya Igunga alikokuwa akigombea ubunge Rostam na Monduli alikogombea ubunge Lowassa.
Akiwa katika majimbo hayo, Kikwete aliwanadi viongozi hao waliokuwa wamepitishwa na chama chake kuwania ubunge, licha ya tuhuma za ufisadi zilizokuwa zikielekezwa kwao.
Nape kubali uliingizwa chaka,toka lini ccm wakawa wapinga ufisadi?Pole zako,unachaganywa akili na wewe bado tu na magamba.Sasa nguvu mmeshaishiwa utaendelea kuwa vuvuzela tu badala ya kutumikia taifa na wananchi.Nape alisema hakuna haja ya kuwa na hofu ya mageuzi yanayofanyika sasa ndani ya CCM kwa vile yanalenga kukiboresha chama hicho.
"Kama kwa kusimamiavyema rasilimali na kupiga vita rushwa na ufisadini kutaleta mpasuko, nadhani mpasuko huo utakuwa ni mwema kwa vile utaondoa dhambi ndani ya chama," alisema Nape akiomba vyombo vya habari kuwa na subira. Aliongeza Nape: "Ikifika hatua ya wananchi kuwa na shaka ya uadilifu wa mtu au chama,ni lazima kuhakikisha shaka hiyo inatoka kwa kufanya mageuzi."
Meneja wa Kampeni wa JK. Yeye pia ni mnafiki na fisadi mkubwa. Aende zake...akafie mbele