CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

Naona upinzani ndo unaongoza kichwa kina sema CCM ndo inaongoza
 
Umenichanganya sana kwa heading yako, lakini baada ya kuusoma Uzi nimekuelewa. Ccm haiwezi kuunguruma, sana sana itakuwa imekoroma tu ambayo ni dalili ya kukata roho.
 
John Pombe Magufuli aliyepiga kampeni kwa Kisukuma lugha ambayo wanaielewa
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali.
 
Pasco mkuu, ulikuwepo Geita leo kwenye maadhimisho ? Ningependa kuona ukiwauliza maswali magumu magumu wale waliokuwa wateule wa Magufuli ambao bado wamesalia mpaka sasa kwenye nafasi mbali mbali serikalini😊
 
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali.
 
Paskali upo humu tangu miaka jukwaa linaanza sidhani kama Kuna Uzi wa kuhamasisha watu kupiga kura 2010,2015, labda 2020.
Mkuu Matu, matunduizi karibu mitaa hii, angalia hili ni bandiko la lini!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…