PreGE2025 CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Siglada aliyepigwa na mlinzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
780
Reaction score
1,831
CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemchangia Sh 1,553, 500 Katibu Mwenezi wa Bawacha Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo, kwa ajili ya kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Peramiho, kutokana na kipigo.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, leo akiwa katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mashujaa, alitangaza harambee kwaa wanachama CCM kumchagia matibabu kiongozi huyo wa CHADEMA ili akatibiwe zaidi.

Akizungumza na wananchi, CPA Makalla ambaye yupo katika ziara ya siku tatu katika mikoa ya Mbeya na Iringa, amesema kwa upande wake, amewasiliana na Sigrada wa njia ya simu na kumpa pole.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Amesema wakati akizungumza naye alimweleza anatakiwa kwenda kufanya matibabu katika Hospital ya Peramiho.

CPA Makalla ametangaza.katika mkutano huo kuwa Sigrada anahitaji msaada ili aweze kujiuguza na kutibiwa na kuweza kurudi katika hali yake ya kawaida na kuomba michango kwa wanachama wa CCM.

“Mimi ninawaomba hapa tuanzishe mchango wa kumchangia Sigrada kwa ajili ya matibabu yake aendelee kujiuguza ameniambia anaenda karantini nimemwezesha lakini lazima tuendelee kumchangia,” amesema CPA Makalla.
Katika harambee hiyo Mjumbe wa Halmashauri Kuu wa CCM Mkoa wa Iringa, Salim Abri amechangia kiasi cha Sh. milioni moja na Sh. 553,500 zimepatikana kutokana na michango iliyotolewa na wana CCM katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.

Jana, akiwa katika mkutano wa hadhara Mbeya, CPA Makalla alitoa pole kwa Sigrada na kukitaka chama chake katika Mkoa wa Njombe kwenda kumtembelea.

Cdm wasijibu hizo kiki, hizo mbinu watawapata wajinga walioko huko huko ccm. Watu wametekwa na vyombo vya dola na kupotezwa wengi, hakuna mwanaccm aliwahi kujitokeza kuonyesha wema huu wa bandia.
 
CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemchangia Sh 1,553, 500 Katibu Mwenezi wa Bawacha Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo, kwa ajili ya kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Peramiho, kutokana na kipigo.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, leo akiwa katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mashujaa, alitangaza harambee kwaa wanachama CCM kumchagia matibabu kiongozi huyo wa CHADEMA ili akatibiwe zaidi.

Akizungumza na wananchi, CPA Makalla ambaye yupo katika ziara ya siku tatu katika mikoa ya Mbeya na Iringa, amesema kwa upande wake, amewasiliana na Sigrada wa njia ya simu na kumpa pole.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Amesema wakati akizungumza naye alimweleza anatakiwa kwenda kufanya matibabu katika Hospital ya Peramiho.

CPA Makalla ametangaza.katika mkutano huo kuwa Sigrada anahitaji msaada ili aweze kujiuguza na kutibiwa na kuweza kurudi katika hali yake ya kawaida na kuomba michango kwa wanachama wa CCM.

Katika harambee hiyo Mjumbe wa Halmashauri Kuu wa CCM Mkoa wa Iringa, Salim Abri amechangia kiasi cha Sh. milioni moja na Sh. 553,500 zimepatikana kutokana na michango iliyotolewa na wana CCM katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.

Jana, akiwa katika mkutano wa hadhara Mbeya, CPA Makalla alitoa pole kwa Sigrada na kukitaka chama chake katika Mkoa wa Njombe kwenda kumtembelea.
Mzee wasira kaiaribu ccm mazima, Mbona yule kada wa ccm aliecharazwa na Ndugai , hatukumuona mwanaccm akimchangia kama sio kutoa Tamko?

Ketengo cha propaganda ccm kimekufa that's na ccm imekufa vibaya sana
 
CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemchangia Sh 1,553, 500 Katibu Mwenezi wa Bawacha Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo, kwa ajili ya kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Peramiho, kutokana na kipigo.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, leo akiwa katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mashujaa, alitangaza harambee kwaa wanachama CCM kumchagia matibabu kiongozi huyo wa CHADEMA ili akatibiwe zaidi.

Akizungumza na wananchi, CPA Makalla ambaye yupo katika ziara ya siku tatu katika mikoa ya Mbeya na Iringa, amesema kwa upande wake, amewasiliana na Sigrada wa njia ya simu na kumpa pole.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Amesema wakati akizungumza naye alimweleza anatakiwa kwenda kufanya matibabu katika Hospital ya Peramiho.

CPA Makalla ametangaza.katika mkutano huo kuwa Sigrada anahitaji msaada ili aweze kujiuguza na kutibiwa na kuweza kurudi katika hali yake ya kawaida na kuomba michango kwa wanachama wa CCM.

Katika harambee hiyo Mjumbe wa Halmashauri Kuu wa CCM Mkoa wa Iringa, Salim Abri amechangia kiasi cha Sh. milioni moja na Sh. 553,500 zimepatikana kutokana na michango iliyotolewa na wana CCM katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.

Jana, akiwa katika mkutano wa hadhara Mbeya, CPA Makalla alitoa pole kwa Sigrada na kukitaka chama chake katika Mkoa wa Njombe kwenda kumtembelea.
Kumekuchaaa
 
Jamaa watalikamua hili mpaka wakome. Sigrada anatakiwa awe makini. Lakini wakimlaumu kwa kupokea mchango watakuwa wanakosea maana CCM walimchangia Mwenyekiti mamilioni kwa ajili ya kumnunulia gari.

Amandla...
 
Ogopa sana kwenye msiba kumkuta mtu analia kuliko wote msibani na msiba una siku 7 ,jua kuna jambo so yakubidi chunguza kwanza ,wengine huwa ni fulsa ya kupatiwa msosi ,
 
Wao chadema mbona hawazungumzii jambo hili at a party level..? Halafu mambo gani ya kufanya vikao vya chama usiku? Aliyepigwa ni binadamu sijasikia Makamu m/kiti Heche kwenda kumuona hospitali hata km zipo tofauti kati yenu..yeye Heche ndio sababu ya huyu mwanachama wao kupigwa n hivyo yuko accountable kuhakikisha anatibiwa na kupona..huwezi kuwa kiongozi usiyejali kwa kiwango hicho, kuwa kiongozi lazima kuwa na sympathy kwa watu hata usiowafahamu..chadema you behave childish..! Hata hao BAWACHA mbona wako kimya, what's wrong..mko divided kiasi hicho tena kwenye pet issues km hii, nani atawaamini kwamba mnafaa kubeba majukumu kitaifa..? Inawezekana lengo lenu ni uchumia tumbo pia km hawa waliopo..! Nyinyi kila mahali mna wasaliti mnajengaje chama. ? Hata hao kina Rose Mayemba haijulikani kwa nini hawaendi hospital kumuona mwana njombe mwenzao, so ni maadui..km ni maadui ilikuwaje akawa mwenezi BAWACHA Taifa? Unashindwa kumjali kiongozi mwenzio unayemuona kila mara, utawezaje kuwajali hao watu wa njombe usiowafahamu..au kuongelea matatizo yao..si ni unafiki huu Rose..!
 
CCM imchangie huyu kijana,mwili wake uletwe Tanzania
 
Ulikuepo je unajua kilitokea nini? Acheni porojo uchwara, leta pf3 inayooneshwa kapigwa machawa mbona mnaficha sana akili zenu kwenye kabati, kama ccm inategemea kupata popularity ya siasa pitia uyu mpo nje ya mda
 
CDM siyo wajinga kiasi cha kuongelea utapeli wa upande wa pili. Kiki ya Makalla iliyofeli hiyo
 
🚮🚮🚮
 
..utapeli gani? Huyo mwenezi aliyepigwa ni tapeli? Lakin ni mwenezi wa BAWACHA..Heche kwenda kumuona hospitali ni utapeli..? Sijaelewa maana yako..
 
Ulikuepo je unajua kilitokea nini? Acheni porojo uchwara, leta pf3 inayooneshwa kapigwa machawa mbona mnaficha sana akili zenu kwenye kabati, kama ccm inategemea kupata popularity ya siasa pitia uyu mpo nje ya mda
Sasa wewe unamuitaje huyu wakati ni mwenezi Taifa BAWACHA..hiyo nafasi amejiweka yeye..? Wewe ukitaka kupewa pf3 utakosa..? Hiyo anaweza kupewa mtu yeyote haiwez kuwa evidence ya mtu kupigwa.
 
CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemchangia Sh 1,553, 500 Katibu Mwenezi wa Bawacha Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo, kwa ajili ya kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Peramiho, kutokana na kipigo.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, leo akiwa katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mashujaa, alitangaza harambee kwaa wanachama CCM kumchagia matibabu kiongozi huyo wa CHADEMA ili akatibiwe zaidi.

Akizungumza na wananchi, CPA Makalla ambaye yupo katika ziara ya siku tatu katika mikoa ya Mbeya na Iringa, amesema kwa upande wake, amewasiliana na Sigrada wa njia ya simu na kumpa pole.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Amesema wakati akizungumza naye alimweleza anatakiwa kwenda kufanya matibabu katika Hospital ya Peramiho.

CPA Makalla ametangaza.katika mkutano huo kuwa Sigrada anahitaji msaada ili aweze kujiuguza na kutibiwa na kuweza kurudi katika hali yake ya kawaida na kuomba michango kwa wanachama wa CCM.

Katika harambee hiyo Mjumbe wa Halmashauri Kuu wa CCM Mkoa wa Iringa, Salim Abri amechangia kiasi cha Sh. milioni moja na Sh. 553,500 zimepatikana kutokana na michango iliyotolewa na wana CCM katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.

Jana, akiwa katika mkutano wa hadhara Mbeya, CPA Makalla alitoa pole kwa Sigrada na kukitaka chama chake katika Mkoa wa Njombe kwenda kumtembelea.

Tayari. Tayari. Kumbe ndiyo maana.
 
Back
Top Bottom