Mkutano mkubwa wa na wa kihistoria wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani wa CHAMA CHA MAPINDUZI kata ya Sombetini utafanyika leo soko la Mbauda.Kipenzi cha watu,homa ya CHADEMA Mwigulu Lameck Nchemba Naibu Waziri wa fedha atafungua kampeni hizi pamoja na viongozi wengine wa mkoa.Mama yetu Mh.Chatanda atatema cheche.Baada ya hapo tutafanya maandamano mji mzima .Rasmi tumekuja kuizika CHADEMA Arusha.Kaa mkao wa kula nakuletea live yatakayojiri.
wewe muongo kweli, uko mbauda umekuja kuuza maziwa nini?? Maana inaonekana wewe ni mkata migomba jinsi ulivyo mbishi, njoo mbauda uone maajabu, hiki si chama cha mtei nayesema ametumia ela nyingi kuanzisha chama na kukiendesha(mtei saccos). Hiki ni chama cha wananchi wote, kila mmoja anamkono wake pale , ulishasikia tunapangiwa viongozi km mte anavyofanya,
Join Date : 15th January 2014
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received
0
Likes Given
0
safi sana, tumechoka na hawa wanaozunguka na chopa, na tukiwapa nchi je, mboye alijidai kukataa shangingi kumbe alikua anataka helicopter , ccm haina mbadala chama cha wananchi wanyonge, ccm mali yetu, tutailinda KWA nguvu zetu zote,

Kuna tetesi zimetufikia hvi punde eti chadomo wanajipanga kuzomea.Hawajui fire ya green guard
huyu hata zile enzi za nne bila alikua hajazaliwa, anyway this time ni kamoja tu wanakimbia jiji usiku.
safi sana, tumechoka na hawa wanaozunguka na chopa, na tukiwapa nchi je, mboye alijidai kukataa shangingi kumbe alikua anataka helicopter , ccm haina mbadala chama cha wananchi wanyonge, ccm mali yetu, tutailinda KWA nguvu zetu zote,
Niko hapa na kada wetu Saiboku na Wille mtoto wa Monduli.CCM imejaliwa vijana wenye upeo mkubwa sana.
Mleta mada anaitwa Not in use kama ilivyo CCM huko Arusha Not in useMkutano mkubwa wa na wa kihistoria wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani wa CHAMA CHA MAPINDUZI kata ya Sombetini utafanyika leo soko la Mbauda.Kipenzi cha watu,homa ya CHADEMA Mwigulu Lameck Nchemba Naibu Waziri wa fedha atafungua kampeni hizi pamoja na viongozi wengine wa mkoa.Mama yetu Mh.Chatanda atatema cheche.Baada ya hapo tutafanya maandamano mji mzima .Rasmi tumekuja kuizika CHADEMA Arusha.Kaa mkao wa kula nakuletea live yatakayojiri.