Join Date : 15th January 2014
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received
0
Likes Given
0
Najua huu ni mwiba mchungu kwa vifaranga na mama. Lakini CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga.
:A S thumbs_up::A S thumbs_up:
safi sana, tumechoka na hawa wanaozunguka na chopa, na tukiwapa nchi je, mboye alijidai kukataa shangingi kumbe alikua anataka helicopter , ccm haina mbadala chama cha wananchi wanyonge, ccm mali yetu, tutailinda KWA nguvu zetu zote,

Mkutano mkubwa wa na wa kihistoria wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani wa CHAMA CHA MAPINDUZI kata ya Sombetini utafanyika leo soko la Mbauda.Kipenzi cha watu,homa ya CHADEMA Mwigulu Lameck Nchemba Naibu Waziri wa fedha atafungua kampeni hizi pamoja na viongozi wengine wa mkoa.Mama yetu Mh.Chatanda atatema cheche.Baada ya hapo tutafanya maandamano mji mzima .Rasmi tumekuja kuizika CHADEMA Arusha.Kaa mkao wa kula nakuletea live yatakayojiri.
Hivi arusha kuna ccm?
kutakuwa na malori mangapi? je a to z wameenda kazini leo au kiwanda kimefungwa ili kwenda kujaza uwanja...