CCM Yakwama kuzindua Kampeni Kalenga leo

CCM Yakwama kuzindua Kampeni Kalenga leo

Mwisho wa siku mnakimbia na kuingia mitini wote! Subirini kitakachowakuta hamtarudi tena Kalenga!
 
Kalenga piga ua garagaza ni ya CCM hata mkitembea na chief Mangungo wa Msovero hamuwezi kuchukua jimbo Hilo!

Sasa Subirini jimbo la Chalinze tuwatandike kote kote na lazima mkae!
 
dogo ametoboa hadi sikio,hapo ccm wame ingia mkenge

Wivu tu wa kike ati dogo nyie mmemsimamisha nani ajuza? Sasa subirini cha moto mtakachokipata na asiwepo mtu wa kutoa matusi maana mtaanza kuwatukana wana Kalenga baada ya matokeo!

Asikimbie mtu yeyote hapa hadi siku ya matokeo ili tujuwe dogo na ajuza nani zaidi!
 
Tatizo kuiba kura inakuwa ngumu kama akianguka sana.Siunaona Arusha wana shindwaga kwani wanaiba bado zinakwama
 
Kwani ni mfuasi wa Cameroon ? Mbona anatazamacchini chini?

Godfrey ni kijana mdogo msomi kabisa! Nashangaaa ati dogo sasa tukimsimamisha Mzee ati wazee basi subirini dogo atakavyo mtandika ajuza wenu a.k.a Nkombi!

CCM ni moto wa kuotea mbali sana!
 
Wivu tu wa kike ati dogo nyie mmemsimamisha nani ajuza? Sasa subirini cha moto mtakachokipata na asiwepo mtu wa kutoa matusi maana mtaanza kuwatukana wana Kalenga baada ya matokeo!

Asikimbie mtu yeyote hapa hadi siku ya matokeo ili tujuwe dogo na ajuza nani zaidi!
Kwahiyo mko busy kuchapa kura za bandia?maana huwezi kuwa na confidence na dogo hauziki
 
Tatizo kuiba kura inakuwa ngumu kama akianguka sana.Siunaona Arusha wana shindwaga kwani wanaiba bado zinakwama

KILASI hutaamini macho yako kitakachowakuta Kalenga maana mtaondoka kwa aibu kubwa! Kabla ya kumsimamisha Godfrey chama kilifanya tafiti kila kata na kujua mwelekeo wake ndio maana kikamteua!

Nyie ni mabingwa wa kukaa kwenye keyboard lakini field hamuendi hata kidogo! Sasa kuna vijana takribani 40 wanaofuatilia uchaguzi huu wa Kalenga na wapo huko week ya tatu sasa!

Nyie kaeni kwenye keyboard mnatangaza ukombozi! Yangu macho na kwa hakika mtapata fundisho lililo wazi kabisa!
 
Tatizo ni huyo mtoto anayegombea hajui kiswahili. Nadhani bado anamalizia kozi bakita

Unauhakika na unachokiongea au unaongea kufurahisha genge!
 
Kalenga piga ua garagaza ni ya CCM hata mkitembea na chief Mangungo wa Msovero hamuwezi kuchukua jimbo Hilo!

Sasa Subirini jimbo la Chalinze tuwatandike kote kote na lazima mkae!
Tunataka kuona style mtakayo tumia kum:llama::llama:nadi mvaa heleni
 
Kwahiyo mko busy kuchapa kura za bandia?maana huwezi kuwa na confidence na dogo hauziki

KILASI kwani shule umemaliza? Kama umemaliza basi hongera sana! Nashukuru kwa kukubali ukweli kuwa Godfrey ndio mbunge tarajali kinachosubiriwa ni kura tu!

Kila mtu Kalenga anajua Godfrey ndio mbunge wao na moto wa kuotea mbali! Hata Grace wenu anajua wazi na sasa ndio utakuwa mwisho wake wa kukishabikia CDM!

Kwa Kalenga Kama kumsukuma mlevi hivi!
 
Dogo rudi zako Ulaya naona hawa wana kuzingua,kagombee huko huko,mbona unaruhusiwa tumeliona jina lako

Acha Husda na Uzandiki alikwambia anaishi Ulaya!
 
Na Kiswahili kwake kitakuwa shida sana kwa sababu mkewe ni raia wa UK asiyejua hata kutamka A kwa Kiswahili

Kama hamjui si Mnyamaze tu kuliko uzushi ? ndio Ugreat thinker huu! au ndio Gongo
 
Back
Top Bottom