Hao wa wizikata 24 wabunge kibao marais wa 2 bara na visiwan.we unataka ikubalike vip?
Unaweza kutueleza
1.Chanzo cha kifo cha Dr.Mgimwa?
2.Kwa nini maccm yalimuuta ni "waziri Mzigo"?
kuipigania ccm ni lazima uwe na moyo wa CHUMA ! Maana haikubaliki bali inalindwa na madaraka tu !
molemo,mbona taarifa haina chanzo wala haijakamilika kuweza kukaa kwenye hili jukwaa letu pendwa au zile pesa ulizokula za m4c bado zinakutia uchizi kula fedha za walala hoi maskin wa nchi hii hutakaa salama.
Dogo rudi zako Ulaya naona hawa wana kuzingua,kagombee huko huko,mbona unaruhusiwa tumeliona jina lakoKatika hali ya kushangaza chama cha CCM kimeshindwa kuzindua kampeni zake katika jimbo la Kalenga leo kama walivyotangaza awali.
Badala yake wamesema uzinduzi utafanyika siku nyingine.
Inadaiwa mbali na sababu nyingine mojawapo ni kutokana na mgombea wake kutokukubalika jimboni humo.
Tatizo ni huyo mtoto anayegombea hajui kiswahili. Nadhani bado anamalizia kozi bakita!
Gongo na kitu cha A.Town, plus viroba, unaweza kutamani hata kuoga maji ya mvua pale posta mpya.
Musa Tesha atakuwa hajawasiri Kalenga au watakuwa bize kumtafuta mrithi wake.
maskini huyo mgimwa,hata kiswahili kinamfua.Nahapo inatakiwa na kihehe.kwahiyo tution zinatakiwa zote mbili ziende sambamba.Tatizo ni huyo mtoto anayegombea hajui kiswahili. Nadhani bado anamalizia kozi bakita!
molemo,mbona taarifa haina chanzo wala haijakamilika kuweza kukaa kwenye hili jukwaa letu pendwa au zile pesa ulizokula za m4c bado zinakutia uchizi kula fedha za walala hoi maskin wa nchi hii hutakaa salama.
Kwa ujumla kama kunakosa ambalo wanakalenga watafanya ni kumchagua huyu kijana kwa jina la CCM, Kijana mwenye anaishi nje ya nchi na hata matatizo ya wanaKalenga hayafahamu vizuri. Hawa CCM wanamatatizo sana najua wanajiandaa kuiba kula kwa vile hiyo ndiyo njia pekee kwao.
Eeh tuliwaambia lakini kwamba Kalenga na watu wake ni wale wale aina ya wataka mabadiliko, wasiotaka unyonyaji na unyanyasaji ndio
maana jana sapoti kubwa ilionekana kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA. Wanaamini CHADEMA ndiye chama chenye majibu ya matatizo yao
kiukweli Mgimwa Jr ana wakati mgumu sana mbele ya wanakalenga, hauziki, hakubaliki.
Grace Tendega mwanakalenga wa kweli songa mbele, mkombozi wa kweli wa wanakalenga
Msisahau Kurudi MSIMAMIZI wa Uchaguzi akishamtangaza Mh. Mgimwa kuwa ni Mbunge wa Jimbo la Kalenga!