Jakaya fanya ufanyavo wa Tanzania hawamtaki Mgombea wako, Rafiki yako, Mwanamtandao wa Zamani na mchezaji mwenzako wa Basket ball, Mjeshi mwenzako mstaafu, mteule wako alieongoza moja ya mihimili ya serikali,Iache Demokrasia ichukue mkondo wake.
Tunamtaka Membe tu
Hiyo CC 'maalum' itakuwa imeitishwa kwa dharura baada ya kuona 'spidi' ya mzee wa mamvi katika safari yake ya matumaini haidhibitiki.
Kwa hiyo wanatafuta 'mwoarobaini' ya namna ya kuli-delete jina lake.
Wanasema eti wewe ni mbea na mnafikiKufuatia kupanda kwa joto la kumsaka mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia CCM na songombingo la Zanzibar, Kamati Kuu ya CCM (CC) imeitishwa kwa dharura. Nyaraka za kikao hicho zinaonesha kuwa CC itajadili songombingo la Zanzibar na kuanza kupanga nondo za kuchambua na kuchuja watiania wa CCM. Kikao hicho cha dharura kinatazamiwa kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete na kitafanyika Dodoma.
Kulingana na taarifa nilizonazo,kikao kitafanyika kesho.CC inagusia pia malalamiko ya rushwa toka kwa watiania waliorejesha fomu. Yametolewa malalamiko lukuki yachomayo kama mkuki hasa juu ya wakati wa kusaka wadhamini mikoani. Ni kutoka kwa watia nia wenyewe. Wapo waliowasilisha nyaraka na shahidi nyinginezo kushuhudia rafu za baadhi ya watiania.JF will be the first to know kitakachojiri kikaoni!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Cha ajabu napata taarifa hapa dodoma kama upo nyumba ya wageni na hauhusiki kwenye mkutano unapewa pesa kama ulilipa na kutakiwa kuondoka.
Maana wajumbe na wapambe wa watia nia washalipia guest na hotel zote kwa kipindi cha mkutano.
misukure hiyo hachana nayo mkuu,QUOTE]
Haataaaaari. Vp umeshajiandikisha au bado hawajakupa uraia? Au unatumia sana:bange:??
haa haa lengo kuingiza wapiga kura wenye mlengo wa mgombea yuleee...
Makundi yote ya Lowasa kam 4U movement , Friends of Lowasa , Team Lowasa Dar wote walisha book kwenda Dodoma kushinikiza mtu wao apite .Ni mbumbu wale hawajui kuna sheria na kanuni za CCM .Mimi nawambia wamesha mharibia mzee wa Mvi mapema
Keep on touch mtoa mada