Hichi chama kingepumzika kwanza kidogo jamani
Huwei kuwa na chama kinaongozwa na muislamu kikawa na achievements
Ambaye Ni Mr. Parkinsons Disease EL.
Hapana Jaji Rama mkuu.
Hiyo CC 'maalum' itakuwa imeitishwa kwa dharura baada ya kuona 'spidi' ya mzee wa mamvi katika safari yake ya matumaini haidhibitiki.
Kwa hiyo wanatafuta 'mwoarobaini' ya namna ya kuli-delete jina lake.
Enzi Mwl Nyerere ukisikia cc inakaa tarajia kitu na nchi inasimama lkn cku hizi kawaida
Naunga mkono hoja, hata mimi ubashiri wangu unaona kuwa mzee wa mamvi na swahiba wake Membe, ni dhahiri wanaelekea kuonyeshwa RED card, aidha na kamati ya maadili ya mzee Mangula au na CC chini ya uenyekiti wa JK.Sioni dalili zozote za EL na Membe kupita tano bora kwa uhasama wa makundi hayo ulivyo sasa hivi. Kikwete mwenyewe ameshuhudia kundi lake lilivyokiharibu chama hata yeye mwenyewe alivyoshindwa kulidhibiti. Kwa sasa hivi kuna uwezekano tano bora wakaingia wasio na makundi ili kunusuru chama.
Hi movie yote ni LOWASSA tu, naanza kuhisi JK anamuogopa sana Lowassa; swali nililo nalo kichwani ambalo bado nalitafutia jibu ni hili; hawa jamaa walikua maswahiba sana hata tukawabatiza jina la Boys ii Men; imekuaje JK hataki kabisa jamaa aingie Ikulu? Kuna watu hapa watasema kwasababu mamvi ni fisadi, hivi JK ana usafi gani, ya Richmond kupitia Mwakyembe tuliisha jua, tena kule kule bungeni, Mwakyembe kwa kinywa chake alisema yapo mengine walificha, Escrow pia tumeielewa vizuri kwamba muhusika mkuu yupo! So ukweli najiuliza sana maana kama wakumfichia aibu ya UFISADI alipaswa kua fisadi mwenzie! Still thinking.
Mbona issue inayoonekana wazi ni ya kisiasa, wewe unatumbukiza udini wako?Huwei kuwa na chama kinaongozwa na muislamu kikawa na achievements
Kafanye Upya Format Ya " Ubongo " Wako Kwani Yawezekana Virus Wameshamiri Kichwani.
El ndio chaguo letu.....znz maalim seif