CCM yaibuka mshindi uchaguzi wa marudio wa vitongoji na vijij mkoa wa Pwani

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Chama Cha Mapinduzi CCM kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa Serikali ya vijiji na Vitongoji mkoa wa Pwani.
Matokeo kamili haya hapa chini.

TAARIFA YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA VITONGOJI NA VIJIJI HUKO MLANDIZI - 15/10/2017*

*1. Kitongoji GWATA MJINI.*
- Waliojiadikisha 248
- Waliopiga Kura 161
- Kura iliyoharibika 1
- CCM 151
- CDM 9

*2. KIJIJI LUKENGE.*
- Waliojiandikisha 487
- Waliopiga Kura 436
- Kura zilizoharibika 3
- CCM 333
- CDM 100

*3. KIJIJI GUMBA.*
- Waliojiandikisha 290
- Waliopiga Kura 250
- Kura zilizoharibika 4
- CCM 220
- CDM 26

*4. KITONGOJI MIDIZINI.*
- Waliojiandikisha 156
- Waliopiga Kura 143
- Kura zilizoharibika 3
- CCM 78
- CUF 62

*5. KIJIJI MISUFINI.*
- Waliojiandikisha 233
- Waliopiga kura 222
- Kura zilizoharibika 2
- CCM 127
- CDM 91

*6. KITONGOJI NGETA.*
- Waliojiandikisha 354
- Waliopiga Kura 314
- Kura zilizoharibika 2
- CCM 188
- CDM 124

*7. KITONGOJI MKAMBARATI.*
- Waliojiandikisha 62
- Waliopiga Kura 60
- CDM 38
- CCM 22

Hizi ni pasha joto kuelekea uchaguzi wa Madiwani mwezi ujao.

*Ila naombeni ile kauli ya Profesa Kitila Mkumbo kuhusiana na graph za vyama vya siasa.*
 
Duh, utadhani waligombea peke yao!

Hivi vitongoji ni tofauti na Kibiti, Rufiji na Mkuranga?
 
Pwani kuna wat? Mimi najua kuna binadam watu hawapo!
 
Waende arusha wakaonje joto la jiwe,arusha hawana mchezo tawala, nawakubali sana
 
Chama Cha Mapinduzi CCM kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa Serikali ya vijiji na Vitongoji mkoa wa Pwani.
Matokeo kamili haya hapa chini.

TAARIFA YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA VITONGOJI NA VIJIJI HUKO MLANDIZI - 15/10/2017*

*1. Kitongoji GWATA MJINI.*
- Waliojiadikisha 248
- Waliopiga Kura 161
- Kura iliyoharibika 1
- CCM 151
- CDM 9

*2. KIJIJI LUKENGE.*
- Waliojiandikisha 487
- Waliopiga Kura 436
- Kura zilizoharibika 3
- CCM 333
- CDM 100

*3. KIJIJI GUMBA.*
- Waliojiandikisha 290
- Waliopiga Kura 250
- Kura zilizoharibika 4
- CCM 220
- CDM 26

*4. KITONGOJI MIDIZINI.*
- Waliojiandikisha 156
- Waliopiga Kura 143
- Kura zilizoharibika 3
- CCM 78
- CUF 62

*5. KIJIJI MISUFINI.*
- Waliojiandikisha 233
- Waliopiga kura 222
- Kura zilizoharibika 2
- CCM 127
- CDM 91

*6. KITONGOJI NGETA.*
- Waliojiandikisha 354
- Waliopiga Kura 314
- Kura zilizoharibika 2
- CCM 188
- CDM 124

*7. KITONGOJI MKAMBARATI.*
- Waliojiandikisha 62
- Waliopiga Kura 60
- CDM 38
- CCM 22

Hizi ni pasha joto kuelekea uchaguzi wa Madiwani mwezi ujao.

*Ila naombeni ile kauli ya Profesa Kitila Mkumbo kuhusiana na graph za vyama vya siasa.*
Pwani to dodoma upinzani bado maana wako nyuma kielimu
 
Washinde tu zuzu kuongoza mazuzu sio shida ila zuzu kuongoza wenye akili ndo shida inaanza hapo muulizeni gogoni boy hakuna moto ataacha kuuona atarudi chato anaburuza miguu
 
Back
Top Bottom