CCM yafanya maamuzi mazito Kamati Kuu?

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Hapa naomba ufafanuzi.Nimepita kwenye Michuzi blog nimekuta kuna taarifa na picha za kikao cha CCM kamati kuu kilichoongozwa na mkuu mwenyewe kimefanyika ikulu leo.Jamani naomba kufahamu kama ni sawa kikao hichi cha chama kifanyike ofisi kuu ya serikali yetu tena wamevalia sare zao!
 
Kwanza Kamati kuu si NEC kama unavyobainisha kwenye heading. Lakini, mbona ni kawaida kwa vikao hivyo kufanyika hapo? Hata vinapofanyika Dodoma, huwa vinafanyika kwenye ukumbi wa Tamisemi-hii ni ofisi ya serikali pia.
Nadhani hoja yako inalingana na ya Zitto juzi Bungeni wakati alipombana Pinda kwa ninia anahusisha ziara zake na shughuli za chama
 
Okay bado wako ndani ya kikao kitaisha in one hour, hopefully tutakuwa na some dataz just fasten your belt,

Mkulu Lunyungu ni PM upo wapi hapo Dodoma?
 
Okay bado wako ndani ya kikao kitaisha in one hour, hopefully tutakuwa na some dataz just fasten your belt,

Mkulu Lunyungu ni PM upo wapi hapo Dodoma?

Ndiyo Mkuu Idodomya hapa kwa siku kadhaa sasa .Nakuletea info napatikana wapi .
 
Sababu tosha ya kulifagilia mbali hili genge la wezi na wasanii kabla taifa halijaangamia zaidi.

Haya ni mawazo yako, maana hazuiwi awaye yote kutoa mawazo yake.
Wasiwasi wangu ni kuwa wewe ni mwana CCM pasee moyoni mwako.
Ninakutakia kila la kheri na karibu tena CCM.
 
Shamba la Bwana Kheri na Mbuzi wa Bwana Kheri acha wajimwae....

wakati akihojiwa hivi majuzi kuhusu masuala ya oic, mheshimiwa msekwa alisema
mambo ya oic ni ya serikali na wala si ccm. kwa msingi huo huo naamini ikulu ni ya serikali na ccm haitakiwi kukutana hapo.
 
Haya ni mawazo yako, maana hazuiwi awaye yote kutoa mawazo yake.
Wasiwasi wangu ni kuwa wewe ni mwana CCM pasee moyoni mwako.
Ninakutakia kila la kheri na karibu tena CCM.

Baada ya kushuhudia uhuru Desemda 9, 1961 kuna rafiki yangu moja alijaribu kunishawishi nijiunge na TANU lakini nashukuru niliweza kupata ujasiri wa kumkatalia. That is the closest I have ever been to any political party in my whole life. Sijui kama tuko wengi lakini sikulazimishi kuamini hilo ila mimi ni Mtanzania lock, stock and barrel, cheers.
 
Habari za ndani ya kikao cha CC nilizozipata sasa hivi ni kwamba, kamati kuu ya CCM iameamua kuwafuta wagombea wote wa UV-CCM kutoka Bara, na kuamua kuwachukuwa wagombea watatu toka Zanzibar tu kugombea kiinyanga'nyiro hicho.......... stay tuned kwa more dataz!

We will beright backkkkk! Ooh I love it! JF Where We Dare!
 
Last edited by a moderator:
habari njema.

isije ikawa ni moja ya zana zinazotumika
kutusahaulisha mambo nyeti yanayolikabili taifa letu hivi sasa.
 
Habari za ndani ya kikao cha CC nilizozipata sasa hivi ni kwamba, kamati kuu ya CCM iameamua kuwafuta wagombea wote wa UV-CCM kutoka Bara, na kuamua kuwachukuwa wagombea watatu toka Zanzibar tu kugombea kiinyanga'nyiro hicho.......... stay tuned kwa more dataz!

We will beright backkkkk! Ooh I love it! JF Where We Dare!

Yaani anayepigiwa kampeni na mtoto wa Rais yule aliyeandikwa na Mwanahalisi naye amepigwa chini, don't say NEC ime-side na Kubenea, LOL.

Kubenea for President.
 
Field Marshall,

Je ni dalili za "TUJISAHIHISHE", ama ni funika kombe....?

Most likely ni funika kombe.... hawaaminiki hawa wasanii. Kwa haraka unaweza kuona kuwa maamuzi haya yanalenga kujisafisha, lakini deep inside kunaweza kuwa na siri iliyofichika
 
Back
Top Bottom