CCM yaendelea kupata wakati mgumu Arumeru Mashariki

CCM yaendelea kupata wakati mgumu Arumeru Mashariki

Kata Ya Poli hwakupata mtu hata mmoja.

Sing'isi walipata watu jumla haifiki kumi

Na Mgombea Sioi alifika Tengeru kuweka mafuta gari lake bila hata ya kusalimiwa na mtu mmoja, watu walikuwa wakimshangaa tu. Tengeru ndio mji wa karibu na kijiji anachotoka na ilikuwa ni soko leo.
 
asante kwa ufafanuzi walioko Arumeru wanaweza kutuambia kama kweli kijiji hicho kipo, NAPE wasiliana na wanaCCM wenzako tupe ukweli wa kijiji hiki.
Natamani hii id ipigwe life ban, wewe unang'ang'ania kwenye screen kwanini usiende huko Arumeru afu ukaja na habari za uhakika?..
 
Kweli nimeamini CCM ni taasisi ya Lowassa. Mpaka Nape ameanza kumlamba miguu! Pesa mwanaharamu. Ooh Siyoi is not fit or sijui nini! Vuvuzela wewe!

Chezea Lowasa wewe
 
Kata Ya Poli hwakupata mtu hata mmoja.

Sing'isi walipata watu jumla haifiki kumi

Na Mgombea Sioi alifika Tengeru kuweka mafuta gari lake bila hata ya kusalimiwa na mtu mmoja, watu walikuwa wakimshangaa tu. Tengeru ndio mji wa karibu na kijiji anachotoka na ilikuwa ni soko leo.

Nashaka sana na habari yako kama ni ya kweli mkuu.
 
cha muhimu hapo ni kushika neno moja kutoka Nape SIASA NI TIMING,tusipige kelele mitandaoni pasi kuwepo ktk maeneo ya matukio na kujiridhisha nini kina endelea

nami nasema UCHAGUZI NI KAMA MBIO ZA RIADHA,UNAWEZA PITWA MWISHONI

Mkuu washindani wenyewe ni sungura na kinyonga, kinyonga ccm atafanya muujiza gani kumpita sungura hali ya kuwa tunajua mungu kesha sitisha miujiza long time.
 
Vijana wa Arumeru Mashariki tunawategemea sana mlinde kura za Nasari ili hawa Kenge magamba wisichakachue kama Igunga. aluta continua CDM.
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

pipoz pawa na dozi tosha ya magamba.Hawana lolote arumeru mash.Kwani watu walishachoka nao watawadanganya nn watz!? Sisi em ni waongo na wanafiki wakuu hawafai kwa kila jambo ktk nchi hii ya tz.Joshua Nassari ndo chaguo letu wa arumeru na siyo sioi mkimbizi
 
yaelekea ccm imeshikwa pabaya arumeru lakini wana uzoefu wa kushinda chaguzi ndogo wameamishia nguvu yote arumeru kueni makini cdm moto huo huo mpaka mwisho
 
Kweli Nape unasikitisha! mimi nilikuamini sana kwamba una msimamo kumbi hewa? baada ya kuonywa na Lowasa sasa unajikombakomba kwake! SIMAMA KATIKA NJIA YAKO NDUGU YANGU! HESHIMA ITATOKANA NA WEWE KUSIMAMIA KILE UNACHOAMINI NI HAKI!.
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

419607_349294191781319_100001022241860_1035679_1217842918_n.jpg

Kazi ya Nape FB. Hivi Nape mnafanya hivi ili iweje? Tumewachoka na hatuwataki majizi nyie.
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

hivi wewe Nape, kwanini kila ukiandika unaandika kwa herufi kubwa halafu pointless?. Unatakiwa uwe unaandika kama Kiongozi kwenye jamii sio kuandika kama mpambe au mshabiki wa ccm. Jirekebishe aisee, unaaibisha.
 
Back
Top Bottom