CCM yaendelea kupata wakati mgumu Arumeru Mashariki

Wamemtumia tena mkapa wakidhani ile ni igunga na tangia awali nishawashauri hata kama wangemfufua baba wa taifa akaja kuwapigia kampeni bado watashindwa tu, kwani ccm kwa sasa wanaonekana ni zaidi ya majinga yote hatari ambayo yashawahi kutokea duniani
 
Picha za kampeni ya Sioi zipo michuzi blog.... kijiji kwa kijiji.
Kama mbuguni wanamsikiliza, basi mlimani sidhani kama kuna wasiwasi.
Rallies vs. kijiji kwa kijiji.
 
Kweli nimeamini CCM ni taasisi ya Lowassa. Mpaka Nape ameanza kumlamba miguu! Pesa mwanaharamu. Ooh Siyoi is not fit or sijui nini! Vuvuzela wewe!

Jamani hamjui pesa ni mwisho wa yote? Mwenye pesa anaweza kuhamisha milima na kufukia mabonde? Je hamyaoni yanayotokea kula Arumeru? Pamoja na mapungufu yote aliyonayo mgombea wa CCM; passport mbili, hajui kama jimbo analigombea ni Mkoa au Wilaya, Raia wa Kenya (Uhamiaji wamethibitisha hilo) na Hajawahi kumpigia kura mtu yeyote Tanzania. Lakini CCM ndo wanayemtaka awe Mbunge wao. Hii ndo Tanzania yetu bwana.
 
Kwa taarifa yako siasa siku hizi sio za majukwaani tena hizo ni za kizamani vijana siku hizi wapo kwenye mitandao shauri yenu magamba
Kwenye Mtandao hapa JF 2010 Slaa alishinda kwa asilimia kubwa sana...kilchotokea baada ya uchaguzi ni kuangukia pua!
Wengi humu JF ni wanaharakati wa CDM...you always end up losing!
Magamba yanakuwasha!
Utabaki na hiyo mentality...sisi tunaendelea kushinda!
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

ndo wizi wenyewe, CCM mnaweza vyama vingine haviwezi.
CCM mna miundombinu ya wizi, vyama vingine havina.
CCM mna wauaji, vyama vingine hakuna
ndo timing hiyo......
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Your so stupid, mambo ya Uzini CCM mmefanya fatal mistake kwa sababu huyo Raza mnaedai kachaguliwa hafai kabisa kuwa Mbunge kutokana na record zake za nyuma,huyo mtu ni balaa , mmelisababishia taifa hili balaaa kwa kutokumscreen huyo mtu , ni hatari kwa kauri zake na matendo yake, subilini mtaona wenyewe. Mchezo wenu huo ndio mauti yenu.

Sasa Uzini ndo unaringanisha na Arusha?
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Ndugu yangu Nape nimefurahi kukuona huku kwenye JF. naomba nikueleze jambo hili. mimi nimkazi wa Tengeru- kwafundi. Ukiambiwa CCM inahalimbaya A. mashariki kubali. kama uamini mulize siyoi jana tar 14 -03- 2012 siku ya jumatano ,siku ya soko pale tengeru nini kilitokea.kwanini hakusubutu kuteremka kwenye gari atusalimie wapiga kura wake.
Nape watu tumechoka tumechoka tena sana. ndugu hapa kwetu tunashida usipime uwezi amini tunanunua maji ndoo ya lita 20 kwa Tsh 200 hadi 300 na pia hayapatikani je hayo ndiyo maisha bora mnayo ya hubiri.
Tumejipanga tarehe 1-4-tupigekura kwakuikomoa ccm. kweli tumechoka ,tumechoka.
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
Leo kulikoni kujibu hoja? Wewe hata ukiweka post yako mwenyewe hujibu wala kuendelea kuchangia. Leo hili linaukweli na linakukera ndio maana umeamua kupunguza uchungu kwa kuandika hivi. Polee Sana kwa kutumiwa kama kivuko cha Chai Chapati Maharage.
 
Landala, KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
OOH ...pole Nape,laiti ungejua yanayokufata ungekaa kimya...nakumbuka siku ile unatangaza sioyi kupitishwa na magambaz pamoja na fisadi mkapa kua mfungua na mfunga kampeni zenu ulikua unang"ata meno kwa jazba..pole kijana ww sio mmoja wao,unatumika tuu na unajua hivyo
 
lakini braza nape, tuongee tu bana ki ndugu wala akina Dr Slaa hawatuoni, embu niambie ukweli, kura mmeiba majimbo mangapi????????
sema tu ukweli bana, hata Arumeru tunaweza kuwaachia manake naona mnaendeleza maisha ya kifalme kurithishana madaraka, mkiambiwa chama na uongozi wenu ni wa kifalme mnaanza kubwabwaja na kutokwa povu, unalisemea je hili mkuu?????
bila shaka utanijibu
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Sasa ndio umeongea nini?.......hivi wewe...ah basi ngoja niachie hapo
 
Nape we najua unaujua ukweli, lakini ukiwa umetoka kwenye familia ya magamba, baba gamba+mama gamba=mtoto ligamba ,hutoki mwanangu

landala,
kwakuwadanganya huku wenzio ndio mtakuja sema mmeibiwa kura. Hakuna mahali ccm wamekosa watu kama unavyodai, sasa sijui mwisho wa uongo na uzushi kama huu ndio yale ya uzini, ccm 5000, cdm 200.........oooooh tumeibiwa! Siasa yataka timing dogo!!!
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Dogo (Jnr),

Usilemae kama Mzee Moses Nnauye (RIP). NiPM nikutafutie kiwanja Mabwepande uweke angalau vyumba viwili vya uwani. CCM hawana wema. Baba yako alivyojitolea kupitia usanii (nakumbuka alivyokuwa anapiga kinanda) asingekuwa mtu wa kufa bila kujenga banda hapa mjini.

Wewe ukilinganishwa na baba yako ni kama kichuguu kwa mlima Kilimanjaro. Chunga sana usiropoke. CCM inakutumia kama ilivyomtumia baba yako.
 
Napenda sana jinsi ambavyo wanaCDM wa hapa JF wanajipaga moyo halafu wanaishia kuangukia pua kila mara! Siasa za kwenye keyboard haziwasaidii.
1.naomba nikumbushe mkuu..hivi kule igunga Mwigulu Nchemba alifumaniwa na nani tena??? 2.hivi Mkapa ameshajibu tuhuma za kumrestisha in peace Mwalimu NYERERE??? 3. na Sioi ameshakua raia wa Tanzania???? nisaidie hayo maswali mkuu najua upo karibu na wahusika
 
Back
Top Bottom