CCM yaendelea kupata wakati mgumu Arumeru Mashariki

CCM yaendelea kupata wakati mgumu Arumeru Mashariki


Mkuu Nape,
Mtoa hoja hajasema kwamba mmekosa kabisa watu. Amesema kwamba mmepata umati dhaifu! Alafu naomba nikuulize hivi safari hii umeenda Arumeru au?

Anga za Lowasa hizo katu hawezi kutia mguu. na hata akitia mguu ataongea nini?
 
landala,
kwakuwadanganya huku wenzio ndio mtakuja sema mmeibiwa kura. Hakuna mahali ccm wamekosa watu kama unavyodai, sasa sijui mwisho wa uongo na uzushi kama huu ndio yale ya uzini, ccm 5000, cdm 200.........oooooh tumeibiwa! Siasa yataka timing dogo!!!

mkuu nepi..sorry nape hivi upo arumeru.. Naona umeamua kula matapishi yako tena walewale uliosema mafisadi leo unawashika tena mkono. Pole sana kijana naona hujui uendako.. Naona umeridhika na ufujaji wa rasimali zetu, na bado mkamuua muasisi wa taifa letu... Kijana nagalia usije ukadhani umesimama.. Siku zaenda kasi..... Asanteni kwa single zenu za kujivua gamba, maisha bora kwa kila mtz, na nini ile nyingine.... Siku inakuja hata kama ni baada ya miaka 30 ijayo ambayo mtalia na kusaga meno.. Naona upeo wenu wa kufikiri umeishia kwenye urefu wa pua zenu.. Tunajua mna polisi, mahakama, usalama wa taifa..na kila silaha, lakini time will telll.... Unamkumbuka gadafi??? Kila lakheri endeleeni kutigeuza mitaji.
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Nape mbona hoja yako ni kama ya kukata tamaa! timing gani mtafanya? kuchakachua? sijui kama CDM safari hii watakubali.
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
ndg yangu ule mtaji wa ccm ambayo ni UJINGA NA MASIKINI WA KUTUPWA ASIYEJUA KESHO ATAISHIJE, UMEPUNGUA KWA KASI SANA. Hii ni northen bloc
 
hatimaye nape ashika ukuta.. cheza na baba fred wewe..!!!!
 
Na isiwe ni watu tu kwenye mikutano. Wakose na kura kabisa, Na iwe hivyo.
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Nape i wish unge admit kua hali halisi ya mamabo yanavyo kwenda Arumeru, sababu najua ulikua na shakana chaguohili la kamati kuu.
 
Anga za Lowasa hizo katu hawezi kutia mguu. na hata akitia mguu ataongea nini?
Sasa huyu ndio katibu mwenezi na kila Uchaguzi ambazo mafisadi wana mkono(Igunga-Rostam, Arumeru-EL) halafu Nape hawezi kukanyaga, kweli huyu ni mwenezi au BOYA? Nape unajidhalilisha bwana mdogo, usikubali kutumiwa kama vile vifaa vya kuzuia uzazi au magonjwa ya zinaa. SIMAMIA UNACHOKIAMINI MOYONI MWAKO.
 
Napenda sana jinsi ambavyo wanaCDM wa hapa JF wanajipaga moyo halafu wanaishia kuangukia pua kila mara!

Siasa za kwenye keyboard haziwasaidii.
 
Napenda sana jinsi ambavyo wanaCDM wa hapa JF wanajipaga moyo halafu wanaishia kuangukia pua kila mara!

Siasa za kwenye keyboard haziwasaidii.
Kwa taarifa yako siasa siku hizi sio za majukwaani tena hizo ni za kizamani vijana siku hizi wapo kwenye mitandao shauri yenu magamba
 
Landala, KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
we nape rudi hapa toe sababu za msingi za wana Arumeru kumchagua Sioi na ccm,
 
Chama cha Mauaji aka CCM kimeendelea kupata wakati mgumu kwenye kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kukosa watu kwenye mikutano yake ya kampeni,leo jioni nilipita kata moja na kukuta watu ni wachache mno na wengi wao ni watoto na akina mama ambao wamepewa kanga na sh 5000 ili waende kwenye huo mikutano yao,mgombea wa CCM ndugu Sioi Sumari ameendelea kutokukubalika maeneo mengi ambapo wananchi wamesema marehemu baba yake aliyekuwa mbunge Jeremiah Sumari aliwaahidi mambo mengi lakini mpaka kifo chake alikuwa hajatekeleza hata robo ya ahadi alizozitoa kwenye uchaguzi ulio pita.Tumewachoka CCM walisema wananchi wengi na kuanza kuimba tunaitaka CHADEMA ambaye ni mtetezi wa wanyonge..

chama cha wauwaji ccm embu funguka zaidi kuhusu huu usemi
 
CCM hawana chao Arumeru and that will be proved very soon.
 
Mkuu washindani wenyewe ni sungura na kinyonga, kinyonga ccm atafanya muujiza gani kumpita sungura hali ya kuwa tunajua mungu kesha sitisha miujiza long time.

Sijui kinyonga mwenyewe atatumia mbinu ya kubadili rangi? yani kuibakura
 
Back
Top Bottom