African American
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 165
- 62
Hili gari duhh. La nini. Tunahitaji kama hili huku kwetu maji hayatoki.
View attachment 48752Mtake msitake
View attachment 48752Mtake msitake
Kwa hiyo kinamilikiwa na tume ya taifa ya uchaguzi?Hiki ni kimojawapo cha vifaa vya uchaguzi hapa Tanzania.Kazi kweli kweli!
hivi 2015 haya madude yatatosha majimbo yote?kazi ipoView attachment 48752Mtake msitake
Ukiona magari ya deraya yanatumika either kuwalinda viongozi au kusuppress umma ujue kwamba uongozi uliopo haukuingia ki halali madarakani. Kiongozi aliyeingia ki halali hawezi kuwa na msururu wa walinzi kwa sababu hana hofu na wananchi waliomchagua. Ukiona vyombo vya ulinzi na usalama vikitumika katika uchaguzi wowote, jua kwamba hakuna haki katika uchaguzi huo.
Arumeru najua hawatishwi na vyote hivyo, najua sauti zao zitasikika.
Nijaribu udikteta kidogo?by JKJK anasema yeye sio dikteta...