CCM yaanza kazi ya kusaka kura ARUMERU

Serikali dhalimu ya CCM badala ya kununua zana za kuokoa maisha ya watu wakati wa maafa kama ya mafuriko,moto,ajali za majini na nchi kavu wao wanatumia mabilioni kununua zana za maangamizi kama hizi halafu mtu aseme Kikwete siyo fashisti nitakuwa simuelewi
Nchi yoyote duniani inapaswa kuwa na vifaa hivi kwa ajili ya usalama. Tatizo ni mis use
 
Back
Top Bottom