Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Ni dalili mbaya kwa Chama tawala, mnapokuwa hamkubaliki na vijana na wasomi. Ndio maana vyama huru vya wasomi wengi na vijana kama TLS hakuna mwenye itikadi ya kiCCM anashinda. Ndivyo kote kungekuwa huru basi wenye itikadi ya kiCCM wasingeshinda. Ni moja ya njia ya wasomi na vijana kuonesha kuichoka iliyopo madarakani
Ukiona vijana na wasomi hawakukubali anza kuhesabu siku za kutawala.
Mbona pale kwenye attachment tumeona mmoja tu ambaye anaikataa CCM. Walikuwepo vijana wengi na karibu wote walikuwa wanamshangaa huyo kijana anaye piga kelele na wanajaribu kumtuliza. Statistically ina onyesha CCM inapendwa na wanachuo wengi from that sample.