CCM wapita bila kupingwa nchi nzima.

CCM wapita bila kupingwa nchi nzima.

Wapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo.
Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024.

Tumeokoa mabilioni kwa kuepuka uchaguzi ,sasa mabilioni ya uchaguzi yaelekezwe kwenye maendeleo.

Mendeleo hayana chama.
Afadhali aisee tufike uchumi wa kati, maana wenyeviti wa serikali za mitaa wa upinzani ndio walikuwa kikwazo.
 
Yaani badala ya kusikitika kwa sababu demokrasia imebakwa, wewe unafurahia! Kweli kazi ipo.
Mbona huko chadema wameshindwa kusikitika mbowe kabaka demokrasia kwa kupitisha uchaguzi wa mwenyekiti taifa.?
 
Wapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo.
Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024.

Tumeokoa mabilioni kwa kuepuka uchaguzi ,sasa mabilioni ya uchaguzi yaelekezwe kwenye maendeleo.

Mendeleo hayana chama.
Zwazwa.
 
Maendeleo ni ya chama cha CCM!
 
HONGERENI SANA KWA CHAMA CHENU KUPITA KWA 100%
Wapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo.
Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024.

Tumeokoa mabilioni kwa kuepuka uchaguzi ,sasa mabilioni ya uchaguzi yaelekezwe kwenye maendeleo.

Mendeleo hayana chama.
Yaani ninyi Mataga ni Akili zenu kama nyumbu tuu. Wakati ule Mkapa akifanya uharifu huko Zanzibar mlikuwa mkimsifu anafanya vizur sasa hivi anakili makosa yake mnampongeza tenaa kawa mkweli. Endeleeni kupiga mapambio na kuonesha ujinga wenu, mpaka mnao wasifia wenyewe wanashanga Mataga mmekuwaje?
 
Wapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo.
Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024.

Tumeokoa mabilioni kwa kuepuka uchaguzi ,sasa mabilioni ya uchaguzi yaelekezwe kwenye maendeleo.

Mendeleo hayana chama.
Nadhani sasa matatizo yote ya watanzania yataisha, na tutakuwa developed country!
 
Binadamu ukikosa mshipa wa aibu basi unageuka na kuwa sawa na viumbe visivyo na mwili. yaani mapepo...unakosa sifa ya kuitwa binadamu.
 
....pia litaepusha mauwaji, watu kujeruhiwa, kutekana na uharibifu wa mali.
True, hata for 2020, nilishauri hivyo
P
 
Wapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo.
Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024.

Tumeokoa mabilioni kwa kuepuka uchaguzi ,sasa mabilioni ya uchaguzi yaelekezwe kwenye maendeleo.

Mendeleo hayana chama.
Wewe mwehu,unaona hali ilivyo unashabikia upumbavu,yaani Demokrasia inavyokanyagwa unaona sawa tu
 
Usikitike kwa lipi wakati ufinyu wa kufikiri wa viongozi wa upinzani ndo umesababisha kuwanyima wananchi uhuru wa kuchagua. Tarehe 15.10.2019 walitoa tamko la kutosusia uchaguzi. Huyo aliyetoa tamko la kutosusia then tarehe 07.11.2019 kaikana kauli yake tena kwa kuwatangazia Watanzania kususia uchaguzi. Kwahiyo aliyebaka demokrasia hapo ni nani?

Back
Top Bottom