CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Akiongea na waandishi wa habari, katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki-mkoa ambayo ni asilimia 69.

Chanzo: ITV habari za saa.

My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo?
 
Hahaaa!! Huyo katibu ni mjinga na mjanja sana. Ameshaambiwa na watu CCM makao makuu watamtimua kwa kuwa ameshindwa kupambana na CHADEMA ipasavyo hivyo hana mbinu mbadala zaidi ya kujitetea kijinga.
Poor CCM.
 
MaCCM bana na yatarefer sana miaka ya nyuma.

Watanzania wa leo siyo wale wa jana.
 
Akiongea na waandishi wa habari katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki mkoa ambayo ni asilimia 69.

Chanzo ITV habari za saa.

My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo.
aisee alieloga hizi raia za ccm alikufa kifo cha maji na mwili wake haukuonekana! so hakuna hata kaburi la huyo mlozi watu wakatambike asee
 
sababu ya kupinga matokeo itamrahisishia kazi hakimu atakayetupilia mbali kesi hii.
 
Akiongea na waandishi wa habari, katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki-mkoa ambayo ni asilimia 69.

Chanzo: ITV habari za saa.

My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo?

Haaaaaaaaaaa,wamezoea kuiba na safari hii walie tu CHAMA CHA UPINZANI CCM:whistle::A S-alert1::A S-alert1:
 
Alitegemea matokeo yafanane kila mwaka?inaelekea bado haamini kilichotokea.Haya mapingamizi ya kishenzzi na ya kupotezeana muda inabidi yaongelewe kwenye katiba mpya.Kuwepo na vigezo vya mapingamizi,sio tu mtu anaweka pingamizi heti matokeo hayafanani na ya uchaguzi uliopita wakati wanaosimamia ni wao,polisi ni wao,uchakachuaji ni wao,sasa anafikiri kura zilijipiga na hazikupugwa na watu?
 
Hizo sababu zake huyo mwenyekiti zimeniacha hoi.......anaishi kwa yaliyopita.
 
Alitegemea matokeo yafanane kila mwaka?inaelekea bado haamini kilichotokea.Haya mapingamizi ya kishenzzi na ya kupotezeana muda inabidi yaongelewe kwenye katiba mpya.Kuwepo na vigezo vya mapingamizi,sio tu mtu anaweka pingamizi heti matokeo hayafanani na ya uchaguzi uliopita wakati wanaosimamia ni wao,polisi ni wao,uchakachuaji ni wao,sasa anafikiri kura zilijipiga na hazikupugwa na watu?

Ndugu yangu matokeo yamewachanganya hadi hawajielewi.
 
Huyo hakimu atashikwa na butwaa. Naona rasmi sasa ccm imeshakuwa mpinzani. kama wao ndio wanaolalamika sasa upinzani ujiandae kupokea kijiti.
 
Back
Top Bottom