CCM wapata ajali mbaya ya gari Kalenga, waumia vibaya mno!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Hali ndani ya kambi ya ccm imekuwa yahuzuni baada ya moja ya misafara yake ya Magari inayozunguka kila pembe ya Kalenga kupata ajali mbaya usiku huu, watu wamejeruhiwa vibaya ambapo mmoja ameteguka kiuno na mwingine shingo, na wengine wameumia vibaya miguu nk, lakini hakuna mauti,

Gari iliyopata ajali ni namba T999BFE, waliokuwa kwenye gari hiyi ni Green Gurd waliofahamika ni wawili majeshi na kimarao, walienda kutoa rushwa

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wao.

Tuwaombee ndugu zetu wapone haraka kwani siasa sio uadui,
 
Wapone tu wapinzani wetu ccm sie hatuna ubaya nanyi tunawasamehe mnatufanyia sababu ndiyo mtaji wenu kutumia policcm
 
Damu yao iliyomwagika ni malipo kwa kitendo cha kumpiga Mh. Rose Kamili kwani wanatakiwa wajue CDM inatembea na Mungu.
 
Mmmh! leo mpaka kesho kuna kila aina ya vitimbi vitakuwa hapo.... ni mhimu sana makamanda kulinda uhai, kura na matokeo.
 
Hali ndani ya kambi ya ccm imekuwa yahuzuni baada ya moja ya misafara yake ya Magari inayozunguka kila pembe ya Kalenga kupata ajali mbaya usiku huu, watu wamejeruhiwa vibaya ambapo mmoja ameteguka kiuno na mwingine shingo, na wengine wameumia vibaya miguu nk, lakini hakuna mauti,

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wao.

Tuwaombee ndugu zetu wapone haraka kwani siasa sio uadui,

Tangu nikujue leo kdg umeongea kiungwana. Haya tuwaombee.
 
Sasa huyo dereva alikuwa anakimbiza gari bila sababu ya msingi kwa nini??? Poleni wote mlijeruhiwa katika ajali hiyo.

Mwendo wa kasi unaua.
 
kulingana na chanzo changu siyo rose kamili amepigwa tu na green gurads na pia wameiba simu na kamera yake
 
Walikuwa wanawakimbiza mashahidi wa uongo kwenda kujiorodhesha kuwa walipewa pesa na Mh. Rose Kamili. Mtego ukafyatukia njiani, Pole zenu, ila kilio ni kesho jioni kusikia huyo Tonny Blair kashindwaaaaa
 
Walitoka Kuwanga Nini? Cdm Tuna Mungu Hatulogeki, Chezea Pipooooz Power, Ni Power Ya Sir God Mwenyewe, Ccm Kaeni Mbali!
 
Japo siamini kama hii ajali ni kubwa na mbaya hivi kama inavyoelezewa na hawa ma master sensationalist wetu humu jf, ila ajali ni ajali, iwe kubwa, ndogo au ya kawaida, huwa ni fidia ndogo ya bad karma ya CCM kilichoyafanya!, ila pia isije ikawa ni ajali ya "japo tutafungwa!, lakini chenga tumewala!".

Yaani kampeni za siasa mpaka zinatupeleka kulee kwenye yale mambo yetu yalee?!.

All and all, wish them get well soon, japo naamini huu sio mkakati wa kupunguza kura za ushindi hiyo kesho!, kwa watakaoshindwa kupiga kura kesho kutakana na kuweko hospitalini, hizo ni kura chache tuu hazitabadili matokeo!.
 
Bwana alitoa na bwana ame........ Wapone haraka. Hasa hiyo damu iliyomwagika hata Kama Watu ni wazima iwe chachu ya Kufanya mabadiliko
 
Mungu analipa hapa hapa wtz wamechoka na Hawa wakoloni weusi miaka 50 ya uhuru bado mama zetu wanauziwa pamba ya kuzalia wkti pamba imalimwa hpa hospitali zetu hata panadol hamna.nauchungu sana nahawa watu.
 
Hali ndani ya kambi ya ccm imekuwa yahuzuni baada ya moja ya misafara yake ya Magari inayozunguka kila pembe ya Kalenga kupata ajali mbaya usiku huu, watu wamejeruhiwa vibaya ambapo mmoja ameteguka kiuno na mwingine shingo, na wengine wameumia vibaya miguu nk, lakini hakuna mauti,

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wao.

Tuwaombee ndugu zetu wapone haraka kwani siasa sio uadui,
Wasipone hao ccm
 
Back
Top Bottom