CCM wapata ajali mbaya ya gari Kalenga, waumia vibaya mno!

Damu yao iliyomwagika ni malipo kwa kitendo cha kumpiga Mh. Rose Kamili kwani wanatakiwa wajue CDM inatembea na Mungu.

Ama kweli kupenda kazi!!!! Ata chongo utaona ni kengeza tu, rose alikamatwa kwa sabb alikuwa anatoa rushwa!! Kitendo ambacho ni kinyume na taratibu, hivyo anastaili kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa taratibu zilizopo na sina imani kwamba alipigwan vyombo vya usalama, sasa subirini aibu yenu kwenye matokeo hayo ya kalenga
 
Hali ndani ya kambi ya ccm imekuwa yahuzuni baada ya moja ya misafara yake ya Magari inayozunguka kila pembe ya Kalenga kupata ajali mbaya usiku huu, watu wamejeruhiwa vibaya ambapo mmoja ameteguka kiuno na mwingine shingo, na wengine wameumia vibaya miguu nk, lakini hakuna mauti,

Gari iliyopata ajali ni namba T99BFE, waliokuwa kwenye gari hiyi ni Green Gurd waliofahamika ni wawili majeshi na kimarao, walienda kutoa rushwa


Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wao.

Tuwaombee ndugu zetu wapone haraka kwani siasa sio uadui,

Hiyo namba ya usajiri wa gari haipo.
Kajipange upya na umbea wako.
 
Katibu wa ccm wilaya ya Arusha Mjini ndugu Elisante Kimaro na peter Kasele wamepata ajali mbaya ya gari na kuumia vibaya sana

Wameshaa wahishwa hospital sasa
 
Back
Top Bottom