CCM waombeni radhi Watanzania

CCM waombeni radhi Watanzania

Vitendo dhidi ya maneno ndo njia sahihi ya kuwaomba radhi watanzania..Nadhani Magufuli ndo anachojaribu kukifanya kwa sasa
Hivo vitendo viwaguse na makada pia visiishie tu kwa watumishi wa uma.
 
Ccm kwa baadhi ya watu humu JF imekuwa kama imani ya kidini hivi. Wana macho mazima lakini watakuambia nyekundu ni nyeupe. Kuna hali fulani ya kiubwetere naiona ndani yao. We need to pray for seriously.
Wait till the end of your life.
 
Magufuli mwenyewe atuombe radhi kwa kuwa mmoja wa watengeneza uozo yaani hadi hawaelewi washike wapi wanachagua uozo wa kuchoongea kwa wananchi ukiwauliza MV Dar iliyofunguliwa kwa mbwebwe na magufuli billion 25 kimyaaaaaaaaaaaaa
 
wana ccm hatupo salama kwa sasa, tunaonekana wasaliti
 
Tokea tupate uhuru nchi imekuwa ikiongozwa na serikali za chama kimoja tu, CCM [TANU].

Katika hii miezi mitatu ya utawala wa Magufuli tumeshuhudia uozo wa aina nyingi ukifunuliwa.

Nina imani kuna uozo mwingi zaidi ya huo ambao tumekwishauona.

Nisiseme mengi sana maana itakuwa ni kurudia yaleyale ambayo yamekwishasemwa huko nyuma.

Ila ningependa kutoa rai kwa Chama Chama Mapinduzi kiwaombe radhi Watanzania.

Kiwaombe radhi Watanzania kwa kushindwa kuwaletea maendeleo ambayo kwa kweli yalikuwa ndani kabisa ya uwezo wake.

Haiingii akilini katika karne ya 21 bado tuwe na wagonjwa wanaolala chini au watoto wanaosoma huku wamekaa chini kwenye mavumbi huku watu wachache wakiuhujumu uchumi na kujineemesha kupitia migongo ya watu maskini.

Haiingii akilini katika karne ya 21 umeme na maji ya uhakika zikawa ni huduma za anasa wakati ni huduma za msingi na kwa wakati huo huo kna mabilionea walioupata utajiri wao kupitia migongo ya walalahoi.

Hamjachelewa, waombeni radhi Watanzania kwani wanastahili kuombwa radhi kwa kushindwa kuwapa kile wanachokistahili.

Acheni kiburi, acheni ufedhuli, kuweni waungwana, ombeni radhi kwa Watanzania.
Post yako hakika inashabihiana na jina lako. Tena unapaswa kuitwa NYANI KOKO!
Kwa ninavyokufahamu sijawahi kuona post ya kipuuzi kama hii. Hii si dalili njema kwa mtu aliyewahi kuandika vitu vya msingi kuandika ulofa na upumbavu kama huu! Shame on You!!
 
Hiki chama sijui tukifanyeje waliosoma hawajiongeza kama kindagaten Tanzania hakuna Prof ona wanamwaribu na Lipumba hii ccm mwenye uweza angeshusha safina chama kikazama
 
Ha ha ha waanze wazungu Kwanza maana wameshiriki kutufanya hivi tulivyo
 
Ha ha ha waanze wazungu Kwanza maana wameshiriki kutufanya hivi tulivyo
 
Tokea tupate uhuru nchi imekuwa ikiongozwa na serikali za chama kimoja tu, CCM [TANU].

Katika hii miezi mitatu ya utawala wa Magufuli tumeshuhudia uozo wa aina nyingi ukifunuliwa.

Nina imani kuna uozo mwingi zaidi ya huo ambao tumekwishauona.

Nisiseme mengi sana maana itakuwa ni kurudia yaleyale ambayo yamekwishasemwa huko nyuma.

Ila ningependa kutoa rai kwa Chama Chama Mapinduzi kiwaombe radhi Watanzania.

Kiwaombe radhi Watanzania kwa kushindwa kuwaletea maendeleo ambayo kwa kweli yalikuwa ndani kabisa ya uwezo wake.

Haiingii akilini katika karne ya 21 bado tuwe na wagonjwa wanaolala chini au watoto wanaosoma huku wamekaa chini kwenye mavumbi huku watu wachache wakiuhujumu uchumi na kujineemesha kupitia migongo ya watu maskini.

Haiingii akilini katika karne ya 21 umeme na maji ya uhakika zikawa ni huduma za anasa wakati ni huduma za msingi na kwa wakati huo huo kna mabilionea walioupata utajiri wao kupitia migongo ya walalahoi.

Hamjachelewa, waombeni radhi Watanzania kwani wanastahili kuombwa radhi kwa kushindwa kuwapa kile wanachokistahili.

Acheni kiburi, acheni ufedhuli, kuweni waungwana, ombeni radhi kwa Watanzania.
Unataka maendeleo gani?barabara zimejengwa na zinazidi kujengwa,wanafunzi wanasoma bure ,huduma za afya zinazidi kuongezeka na leo Raisi anaweka jiwe na treni ya mwendokasi,na maendeleo hayaji kama mvua,ni wapinzani tu ndio hawaoni maendeleo,kipindi si kirefu ili ufike Mwanza tulikuwa tunapita Kenya.Na sasa pia serikali inafanya maboresho kwenye sekta mbalimbali zikiwemo za madini ili nchi inufaike,sasa na sisi wananchi ni wakati wa kutumia hizo fursa kujiletea maendeleo ,tatizo hatuyaoni hayo ila tunayaona ya akina Bashe au ya kupokewa kishujaa kwa kuwakanyaga wanawake kwenye makalio,yale ya akina Gwajima na mwisho tujiulize mimi na wewe tumeifanyia nini Tanzania yetu.
 
ccm kila baada ya miaka mitano wanakataa na kuapa kutofukua makaburi kwa sababu wote wanakuwa walihusika na uozo wa nyuma.....
ccm sio mtu bali mfumo usionamanufaa yoyote kwa watz baada ya miaka 50 ya uhuru....
TUNAPOTEZA MUDA NA KURUDI NYUMA KWA KASI......
 
Tokea tupate uhuru nchi imekuwa ikiongozwa na serikali za chama kimoja tu, CCM [TANU].

Katika hii miezi mitatu ya utawala wa Magufuli tumeshuhudia uozo wa aina nyingi ukifunuliwa.

Nina imani kuna uozo mwingi zaidi ya huo ambao tumekwishauona.

Nisiseme mengi sana maana itakuwa ni kurudia yaleyale ambayo yamekwishasemwa huko nyuma.

Ila ningependa kutoa rai kwa Chama Chama Mapinduzi kiwaombe radhi Watanzania.

Kiwaombe radhi Watanzania kwa kushindwa kuwaletea maendeleo ambayo kwa kweli yalikuwa ndani kabisa ya uwezo wake.

Haiingii akilini katika karne ya 21 bado tuwe na wagonjwa wanaolala chini au watoto wanaosoma huku wamekaa chini kwenye mavumbi huku watu wachache wakiuhujumu uchumi na kujineemesha kupitia migongo ya watu maskini.

Haiingii akilini katika karne ya 21 umeme na maji ya uhakika zikawa ni huduma za anasa wakati ni huduma za msingi na kwa wakati huo huo kna mabilionea walioupata utajiri wao kupitia migongo ya walalahoi.

Hamjachelewa, waombeni radhi Watanzania kwani wanastahili kuombwa radhi kwa kushindwa kuwapa kile wanachokistahili.

Acheni kiburi, acheni ufedhuli, kuweni waungwana, ombeni radhi kwa Watanzania.
Ccm ni nani?
Mimi na wewe ndio tujiombe ladhi kwa kuwekewa mianya ya uongozi usio bora na kubweteka.
Mianya ya kutokulipa kodi na tukafurahia kumbe tunajiua wenyewe.
Jua ya kwamba utaonekana chizi unavyomlaumu baba yako kwa kujenga nyumba mbovu ambayo umekulia .
Kama ni mbovu jitahidi kuifanyia ukarabati.
 
Tatizo sio ccm, tunaweza kuitupia lawama ccm coz ni chama pekee kilichapata nafasi ya kutawala na kuongoza nchi. Lakini matatizo ya Tanzania yanaenda mbali sana, tatizo ni watanzania, watanzania ni tatizo kubwa katika maendeleo ya nchi yetu.

Tuombe afya, uzima na amani tuje kushuhudia opposition wakichukua nchi. No hao hao madokta, na maprofesa tulionao toka udsm watapewa nyadhfa mbalimbali, mtu amekuwa mhadhiri wa saikolojia kwa miaka yote, leo anapewa ukatibu wa wizara ya maji..damn it!!!
 
Hapo kidogo umeteleza bro.
Uongozi ni kipaji wala sio kipimo cha elimu.
Unaweza kuwa doctor wa mifugo lkn ukashindwa kufuga wanyama.
Ni sawa sawa ukifananisha mume ktk family.Mtu ana PHD lkn kuongoza family yenye mke moja anashindwa.
Lkn utakuta mtu hana elimu yeyote ya darasani ana wake zaidi ya wanne watoto lukuki ,anawaongoza ktk hali ya displin ya juu.
Kuongoza sekta fulani haihusiani na elimu yako.hapo elimu uliyopata inaongeza ufanisi ktk uweledi wa kipaji ulichozaliwa nacho cha uongozi.
Mfano mwingine ,walimu wa level moja wakifundisha upikeaji kwa wanafunzi hutofautiana.
Lkn yule mwalimu mwenye kipaji cha kufundisha anauwezo wa kuongoza wanafunzi wengi na kuwafiksha ktk lengo la kufaulu.
Bakhresa ni kiongozi wa sekta yake ya marine na amefanikiwa je amesomea marine?
 
Niliyoyaandika karibu mwaka mmoja na nusu uliopita bado yanasimama hususan baada ya ripoti ya tume ya mchanga wa madini!!!
 
Back
Top Bottom