miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,511
WASANII WOTE WA KWENYE KAMPENI ZA CCM HAWANA "MARINDA"
Mimi nimepresent kile alichosema. Bado sijashawishika kumuamini.
Apo sawMimi nimepresent kile alichosema. Bado sijashawishika kumuamini.
1.5trillions iliyomuondoa professor Assad jiwe aliisunda. Kule vote 20 kuna genchi ya madege kiasi cha dola 391Million.Haya majambazi yataendelea kututahiri bila ganzi. Ni kiamaNahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!