CCM wanafanya maandamano Mwanza

CCM wanafanya maandamano Mwanza

Nyerere alitumia nguvu na muda mrefu sana kuijenga Tanzania.. Wananchi walijengwa katika misingi ya kupendana na kushikamana.. Kutobaguana kwa sababu ya itikadi, dini, kabila, kanda wala rangi.. Wengi wanadhani haya tulishushiwa toka mbinguni, and tunaichukulia for granted.. Hapana.. ni juhudi za kiongozi aliekuwa na busara..

Sasa tuna viongozi wanaohubiri utengemano, wanaoonyesha rangi zao za kikanda, kidini na kiitikadi, wanaojiona wao ndo kila kitu.. Wanaleta ubaguzi, tena wa wazi kabisa.. Hawana wa kumuogopa.. Simply tuu kwa sababu wao wana bunduki..
Very sad..
 
Watu wakisema wanaambiwa wachochezi! haya bwana Mungu ndie mweza wa yote na anaona UONEVU huuu.
 
Hakuna Siasa zilizokatazwa kwa kila mtu na jimbo Lake....

CCM KATU HAIWEZEKANI KUFANYA SIASA ZA KIJIMBO UBUNGO


CHADEMA KATU HAIWEZEKANI KUFANYA SIASA ZA KIJIMBO NZEGA

KILA CHAMA KIFANYE SIASA KWENYE JIMBO LAKE NA SI KAMA MNAVYOPOTOSHA
 
R.I.P umoja wa kitaifa.Naona nchi inameguka vipande vipande.
 
Sizonje Yupo Kwenye Ziara Ya Siasa Kwenye Mikoa Hii Kagera,Kigoma,Tabora,Singida
Ama Mimi Sielewi Lolote Maana Angekuwa Kiserikali Isingekuwa Hivi Anavyoongea
 
Hakuna Siasa zilizokatazwa kwa kila mtu na jimbo Lake....

CCM KATU HAIWEZEKANI KUFANYA SIASA ZA KIJIMBO UBUNGO


CHADEMA KATU HAIWEZEKANI KUFANYA SIASA ZA KIJIMBO NZEGA

KILA CHAMA KIFANYE SIASA KWENYE JIMBO LAKE NA SI KAMA MNAVYOPOTOSHA

Hivyo ndio sheria ya vyama vya siasa inavyosema au ni mapenzi ya rais? Je mahali ambapo huna muwakilishi utapataje wanachama wapya?
 
Mida hii nipo maeneo ya Aga khan naskia makelele road kuangalia ni CCM wana andamana kelele zinapigwa

Hivi maandamano si yalipigwa marufuku nchi au nyie CCM na mwenyekiti wenu mnaona hii nchi ni Mali yenu pekee yenu hadi mnaleta ubaguzi?

Haiwezekani wengine wajiachie wengine wabanwa sio haki

f8dbc62d81bdbbe6081c500d33a0694d.jpg


Hayo siyo maandamano hao wanachama wa Yanga na washabiki wanaenda kuangalia match ccm kirumba
 
Hakuna Siasa zilizokatazwa kwa kila mtu na jimbo Lake.... CCM KATU HAIWEZEKANI KUFANYA SIASA ZA KIJIMBO UBUNGO. CHADEMA KATU HAIWEZEKANI KUFANYA SIASA ZA KIJIMBO NZEGA. KILA CHAMA KIFANYE SIASA KWENYE JIMBO LAKE NA SI KAMA MNAVYOPOTOSHA
Kwa hiyo kama CHADEMA wanaandamana kwenda Wizarani kumpongeza Waziri wa Elimu, wanatakiwa waishie Selander Bridge? 😀😀😀
 
Hao hata wakiganya maandamano mwaka mzima hawana athari yoyote zaidi ya kujipotezea muda. Wangekuwa na ushawishi kama Chadema wangezuiwa.
 
Back
Top Bottom