CCM wanafanya maandamano Mwanza

CCM wanafanya maandamano Mwanza

Cc ni CCM na Sio hivyo vyama uchwara
[
QUOTE="leonaldo, post: 22487845, member: 255595"]Mkitukanwa mnakimbilia polisi,wakati midomo yenu inatapika funza![/QUOTE]
 
Hayo nayo ni maandamano! watu wanajipitia tu wengine wanakimbia kama ngoma ya mdundiko unasema maandamano! au kwasababu wanataja jina la Magufuli. Ndugu tofautisha maandamana na watu kukimbia barabarani wakishangilia. Hawa hawana tofauti na wale waliokuwa mahakamani jana wakiimba peoples power

Wewe unajibu upo eneo la tukio? Au ukereketwa tu unakukuna mpaka unajikuta unaropoka hovyo?
 
Mkuu aya maandamano yalipita nyerere road yakaenda paka stand ya mwaloni wakazindua tawi pale stand wakiwa na yule shaka nakatoka stand yakaenda sahara na matango yalipita njiani ila polisi kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mida hii nipo maeneo ya Aga khan naskia makelele road kuangalia ni CCM wana andamana kelele zinapigwa

Hivi maandamano si yalipigwa marufuku nchi au nyie CCM na mwenyekiti wenu mnaona hii nchi ni Mali yenu pekee yenu hadi mnaleta ubaguzi?

Haiwezekani wengine wajiachie wengine wabanwa sio haki

f8dbc62d81bdbbe6081c500d33a0694d.jpg
Wamepewa kibali na nani?
 
Wa kujilaumu ni sisi kutwa kucha ni kulalamika tu!! Hakuna hata mmoja aliyeonyeshwa mfano.
Inatakiwa nas tufanye wanayoyafanya maana katba inaturuhusu au na wao tuwazuie maana uwezo huo tunao. Kila wanapokusanyika ni mwendo wa ma.we tu!!
 
Back
Top Bottom