CCM wamejimaliza wenyewe Kalenga

presenter

Member
Nov 27, 2013
69
22
Salamu sana wana Jf.
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Leo nina machache tu ya kuyasema kuhusu kampeni zinazoendelea huko Kalenga. Hivi CCM walishindwa kabisa kutafakari kwa kina mpaka wakaamua kumuweka mtoto wa aliyekuwa mbunge ili arithi madaraka? Bado tena wanataka kuleta daftari jipya la kughushi wakati wananchi walijiandikisha mwaka 2010. Huu ukiritimba mwisho tarehe 16 na kisha nguvu zihamie Chalinze....TUMECHOKAAAAAA
 
sasa riz 1 ajiulize, yeye na watoto wa vigogo ndiyo wana ridhaa ya kuwa viongoz?
 
Salamu sana wana Jf.
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Leo nina machache tu ya kuyasema kuhusu kampeni zinazoendelea huko Kalenga. Hivi CCM walishindwa kabisa kutafakari kwa kina mpaka wakaamua kumuweka mtoto wa aliyekuwa mbunge ili arithi madaraka? Bado tena wanataka kuleta daftari jipya la kughushi wakati wananchi walijiandikisha mwaka 2010. Huu ukiritimba mwisho tarehe 16 na kisha nguvu zihamie Chalinze....TUMECHOKAAAAAA

Ndugu huo ni mtazamo wako lakini siyo mtazamo wa watu wote wa Kalenga. Unaweza fikiri kuwa chanzo cha yote ni chama lakini pia yawezekana siyo chama
 
CCM ina wenyewe na wenyewe ndiyo hao akina Kikwete, Mgimwa, simiyu yetu nk
 
Kila mtu anayo haki ya kuogombea uongozi ila mradi anazo sifa zinazomruhusu kufanya hivyo. Mbona hukusema kwa wengine Hussein Mwingi, Makongoro Nyerere, Kawawa, Kighoma Malima na hata kule USA unasemaje kuhusu George Bushi na hapo Kenya Uhuru Kenyatta. Hata wewe ukiingia katika uongozi haina pingamizi mtoto wako kuwa kiongozi, hiyo siasa ya wapi ndugu
 
Salamu sana wana Jf.
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Leo nina machache tu ya kuyasema kuhusu kampeni zinazoendelea huko Kalenga. Hivi CCM walishindwa kabisa kutafakari kwa kina mpaka wakaamua kumuweka mtoto wa aliyekuwa mbunge ili arithi madaraka? Bado tena wanataka kuleta daftari jipya la kughushi wakati wananchi walijiandikisha mwaka 2010. Huu ukiritimba mwisho tarehe 16 na kisha nguvu zihamie Chalinze....TUMECHOKAAAAAA

Ndo matatizo ya kunywa gongo utotoni!
 
Ndo matatizo ya kunywa gongo utotoni!

Wewe mwenyewe jina lako linaonesha ni jinsi gani unafikiria kwa kutumia hizo hizo nyeti...tena nina wasiwasi ni ya nyuma maana nahisi bado uko enzi zilee za uchifu za kurithishana madaraka....
 
Aisee nahisi jumapili nitapigwa ban jf maana nimeyaanda moyoni ya kupayuka kwa hawa magamba ikiwezekana toka kwa mkuu wa kaya mpaka hawa simbilisi huku chini,wasiyojua ccm ni ya akina nani ila wao pelepele nyingi.
 
Yaani hawajui tu....watu tunahasira na hiki chama kilichotuongezea umasikini miaka 50 halafu kuna watu wanaongea utafikiri na wao wana mgao wakati "CCM ina wenyewe na wenyewe ndio wao"....
 
Back
Top Bottom