Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu siasa ni mbinu,naaam ni mbinu za kisanyansi. CCM imeendelea kufanikiwa sana kisiasa kwa kuweza kuwabadili akili 'makamanda' hata kuamini kuwa Lowassa ni 'Mkombozi'.
Kwa sasa siasa kwa CCM ni rahisi kuliko miaka 20 iliyopita kwani wamefanikiwa kuharibu fikra za 'makamanda' kwa kuwapatia 'makamanda' dawa wanayoitaka kwani sasa wamelala fofofo.
Ninajua wengi mtatoa kejeli kwa uzi huu lakini nafsi zenu zikiwasuta. kwa sasa eti nayeye katengenezewa mazingira ya 'kubanwa' ili aendelee kupata huruma ya kisiasa.
Ninaweka hii hapa JF ili kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Nawasilisha.