CCM wamefanikiwa kiasi kikubwa kuwaaminisha Chadema kuwa Lowassa ni 'mpinzani'

From opposition presidential candidate year 2015 ni nani aliwahi kupata kura nyingi kama alizopta EL? Kwa taarifa kura hizo zilikuwa mtaji wa kupata ruzuku zaidi ya kukuza chama.
Siasa ni kumbu kumbu vile vile.
Kumbuka waliojiandikisha ni wengi, kakusanya kura za vyama vinne ni lazima atoe 'ushindani' japo ni hadaa.
 
Hiyo maana yake ni nini kisiasa? It the fgrowth of the position side no question about it?????????????!!!!!!!!!!
Vipi ule uvamizi wa tallying centre za EL na kesi zake zimeishaje?????????? Na ule wibmo wa Halmashauri kuu ya CCM kule Dodoma akiwemo PM??? Hapo nina uhakika umeanza kuelewa nguvu ya EL kisiasa.
 
Zile ni mbwembwe ili muamini, endelea kuamini. Ni kama Gwajima 'anavyofufua' misukule...ghafla atakuja mtu ana makucha marefu mchafu anasema eti katumwa kuharibu ibada.
 
Mngekuwa mnaamini hivyo, wala msingekuwa mnalitumia Jeshi la Polisi kuwakandamiza wapinzani, kwa kuzuia mikutano yao mpaka ya ndani, wakati nyie mnaendelea na mikutano yenu, msingekuwa mnawakamata na kuwaweka rumande, pale wanapoenda kukutana kwenye vikao vyao vya ndani.. Pia msingekuwa mnatumia nguvu kubwa kuzima mawazo mbadala ya wananchi wengine..
Sasa ulitegemea ili makamanda waamini kuwa Lowasa ni mpambanaji na ni tishio na ccm wanamuogopa, ccm wangefanya nini?.Historia inakueleza haijawahi tokea waziri mkuu mstaafu akawa Rais, Waziri mkuu anajua siri nyingi kama sio zote za nchi hii. CCM walijua ya kwamba bila Lowasa kugombea upande wa pili Rais aliyoko madalakani ingekuwa ngumu sana kupambana na Dr. Slaa, CCM wanaamini katika kitu kinaitwa zimwi likujualo halikuli ukakwisha, ni bahati mbaya sana jamaa kawageuka lkn hawakutarajia jamaa kama angeshughulika na akina Manji na wengineo. Bahati mbaya kwa Chadema Lowasa yupo kamati kuu, hakuna siri kama ilivyokuwa kipindi cha Dr, Slaa. Kumbuka hawa wazee wastaafu wanalindwa na usalama wa Taifa mpaka kufa kwa kupenda au kutokupenda popote pale wanapokuwepo.
 
kuwemo ndani ya hii GT ni kipimo kuwa una uwezo wa kusoma,kutafakari na kuangalia pande zote mbili za coin kabla ya kutoa uzi wako humu,sasa tunapo pata mada kama hizi ni vema tukajipima kuwa safari bado ipo ndefu mno kuifikia demokrasia itakayompa kila mmoja wetu kujitambua kuwa ni mtanzania,na kuwa mpinzani hakukutolei haki ya kikatiba ya kuwa mtanzania.

Hakuna sayansi hapa isipokuwa tuna chama dola sio chama cha kisiasa,Hon.Lowassa kuingia kwake upinzani ambayo ni haki yake kikatiba ameufanya upinzani upate mafanikio makubwa kuliko chaguzi zote na hii ni facts,now oppositions they are running metros,manispaa,vijiji vingi than before,kwa hiyo unapomtaja Hon.LOWASSA binafsi angalia nini ameufanyia nini upinzani na nchi kwa ujumla,kama una chuki zako binafsi au tuhuma please fungua mashitaka polisi,ambao watafanya uchunguzi wao na hatimaye kuishia mahakamani,kinyume chake ni uzushi tuu.
Angalia uchaguzi wa serikali za mitaa 2009 na 2014 ,je upinzani ulikua kwa kiasi gani nadhani CCM ilishuka kutoka 95% hadi 79% kama sikosei na lowasa hakuwa sehemu ya upinzani mwaka 2014 mm kwa upande wangu sijaona mchango wa lowasa kwa upinzani. Mchango wake utaonekana 2020 wa 2015 siyo wake .
 
Sijaelewa nikiwa mzima sidhani kama nikiwa nimekufa ndipo nitaelewa!Maana kubwa ni kwamba hata huyo unayemuabudu naye alitupiga kwenye Kivuko Kibovu ndiyo sababu nakushangaa.
Unaandika huku unaelewa japo unataka kuonekana na 'makamanda' kuwa wewe 'unajielewa'.
 
Mkuu uko sawa sababu asilimia kubwa ya waliomuunga mkono Lowassa 2015 hawapo naye sasa...upinzani halisi ulikuwa una ajenda na sakata la Eskrow liliwapa wapinzani 'milage' kubwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2014.
 
Unaandika huku unaelewa japo unataka kuonekana na 'makamanda' kuwa wewe 'unajielewa'.

Tatizo lako wewe Mwanachama wa Chama Cha Makinikia unataka kila mtu afikiri kama wewe!Nimesema hivi mpaka sasa Kiboko yenu ni Lowassa na Mdee
 
Sijaelewa nikiwa mzima sidhani kama nikiwa nimekufa ndipo nitaelewa!Maana kubwa ni kwamba hata huyo unayemuabudu naye alitupiga kwenye Kivuko Kibovu ndiyo sababu nakushangaa.
Umeshaelewa japo una ubishi wa ukoo.
 
Sasa ulitegemea ili makamanda waamini kuwa Lowasa ni mpambanaji na ni tishio na ccm wanamuogopa, ccm wangefanya nini?.Historia inakueleza haijawahi tokea waziri mkuu mstaafu akawa Rais, Waziri mkuu anajua siri nyingi kama sio zote za nchi hii. CCM walijua ya kwamba bila Lowasa kugombea upande wa pili Rais aliyoko madalakani ingekuwa ngumu sana kupambana na Dr. Slaa, CCM wanaamini katika kitu kinaitwa zimwi likujualo halikuli ukakwisha, ni bahati mbaya sana jamaa kawageuka lkn hawakutarajia jamaa kama angeshughulika na akina Manji na wengineo. Bahati mbaya kwa Chadema Lowasa yupo kamati kuu, hakuna siri kama ilivyokuwa kipindi cha Dr, Slaa. Kumbuka hawa wazee wastaafu wanalindwa na usalama wa Taifa mpaka kufa kwa kupenda au kutokupenda popote pale wanapokuwepo.
Tatizo kubwa wafuasi wengi wa Chadema hawana taarifa, ndio maana siku Sumaye anajiunga nao alisema 'nimekuja huku ili niwasaisaidie kuwaelekeza jinsi serikali inavyofanya kazi ikiwa endapo mtashinda'' hii ilikuwa ni kejeli kubwa.
 
Sasa ulitegemea ili makamanda waamini kuwa Lowasa ni mpambanaji na ni tishio na ccm wanamuogopa, ccm wangefanya nini?.Historia inakueleza haijawahi tokea waziri mkuu mstaafu akawa Rais, Waziri mkuu anajua siri nyingi kama sio zote za nchi hii. CCM walijua ya kwamba bila Lowasa kugombea upande wa pili Rais aliyoko madalakani ingekuwa ngumu sana kupambana na Dr. Slaa, CCM wanaamini katika kitu kinaitwa zimwi likujualo halikuli ukakwisha, ni bahati mbaya sana jamaa kawageuka lkn hawakutarajia jamaa kama angeshughulika na akina Manji na wengineo. Bahati mbaya kwa Chadema Lowasa yupo kamati kuu, hakuna siri kama ilivyokuwa kipindi cha Dr, Slaa. Kumbuka hawa wazee wastaafu wanalindwa na usalama wa Taifa mpaka kufa kwa kupenda au kutokupenda popote pale wanapokuwepo.

Mwengine huyu nae, sijui ameokota wapi theory ya kipumbavu kama hii..
 
Ndugu zangu siasa ni mbinu,naaam ni mbinu za kisanyansi. CCM imeendelea kufanikiwa sana kisiasa kwa kuweza kuwabadili akili 'makamanda' hata kuamini kuwa Lowassa ni 'Mkombozi'.

Kwa sasa siasa kwa CCM ni rahisi kuliko miaka 20 iliyopita kwani wamefanikiwa kuharibu fikra za 'makamanda' kwa kuwapatia 'makamanda' dawa wanayoitaka kwani sasa wamelala fofofo.

Ninajua wengi mtatoa kejeli kwa uzi huu lakini nafsi zenu zikiwasuta. kwa sasa eti nayeye katengenezewa mazingira ya 'kubanwa' ili aendelee kupata huruma ya kisiasa.

Ninaweka hii hapa JF ili kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

Nawasilisha.
Alie elewa aje atusaidie kutafsiri kwa lugha ya kisiasa, maana naona huyu katumia lugha yamapishi.
 
Kumbuka waliojiandikisha ni wengi, kakusanya kura za vyama vinne ni lazima atoe 'ushindani' japo ni hadaa.
2010 kikwete alipata 61% na 2015 magufuli 58% wakati 2009 serikali za mitaa CCM walipata 95% na 2014 walipata 79% na lowasa hakuwepo. Lowasa alipokuwepo CCM walishuka kwa asilimia 3 wakati kwa wengine kabla ya lowasa walishuka kwa asilimia 16 hapo ndo utoe hitimisho nani kujua lowasa kachangia kiasi gani.
 
Back
Top Bottom