CCM wamefanikiwa kiasi kikubwa kuwaaminisha Chadema kuwa Lowassa ni 'mpinzani'

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu siasa ni mbinu,naaam ni mbinu za kisanyansi. CCM imeendelea kufanikiwa sana kisiasa kwa kuweza kuwabadili akili 'makamanda' hata kuamini kuwa Lowassa ni 'Mkombozi'.

Kwa sasa siasa kwa CCM ni rahisi kuliko miaka 20 iliyopita kwani wamefanikiwa kuharibu fikra za 'makamanda' kwa kuwapatia 'makamanda' dawa wanayoitaka kwani sasa wamelala fofofo.

Ninajua wengi mtatoa kejeli kwa uzi huu lakini nafsi zenu zikiwasuta. kwa sasa eti nayeye katengenezewa mazingira ya 'kubanwa' ili aendelee kupata huruma ya kisiasa.

Ninaweka hii hapa JF ili kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

Nawasilisha.
 
  1. Aisee ni Kweli ndiyo maana mlipora ushindi wa maalim Seif Sharif Hamad, na huku bara mliiba kura za ukawa, Kweli nyie mnajua wizi na dhuluma za hadharani
 
Ndugu zangu siasa ni mbinu,naaam ni mbinu za kisanyansi. CCM imeendelea kufanikiwa sana kisiasa kwa kuweza kuwabadili akili 'makamanda' hata kuamini kuwa Lowassa ni 'Mkombozi'.

Kwa sasa siasa kwa CCM ni rahisi kuliko miaka 20 iliyopita kwani wamefanikiwa kuharibu fikra za 'makamanda' kwa kuwapatia 'makamanda' dawa wanayoitaka kwani sasa wamelala fofofo.

Ninajua wengi mtatoa kejeli kwa uzi huu lakini nafsi zenu zikiwasuta. kwa sasa eti nayeye katengenezewa mazingira ya 'kubanwa' ili aendelee kupata huruma ya kisiasa.

Ninaweka hii hapa JF ili kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

Nawasilisha.

Hahahhahahahahhahahahha,mimi siyo proLowassa lakini jina la Lowassa tu linafanya Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia kupata hasira
 
Wewe ni mgeni wa siasa na ni mmoja wa 'ulipotupo', kalagabaho...
 
Mngekuwa mnaamini hivyo, wala msingekuwa mnalitumia Jeshi la Polisi kuwakandamiza wapinzani, kwa kuzuia mikutano yao mpaka ya ndani, wakati nyie mnaendelea na mikutano yenu, msingekuwa mnawakamata na kuwaweka rumande, pale wanapoenda kukutana kwenye vikao vyao vya ndani.. Pia msingekuwa mnatumia nguvu kubwa kuzima mawazo mbadala ya wananchi wengine..
 
Hao woote wanaokamatwa wanawahadaa ninyi ili muwaone wapinzani.
 
kuwemo ndani ya hii GT ni kipimo kuwa una uwezo wa kusoma,kutafakari na kuangalia pande zote mbili za coin kabla ya kutoa uzi wako humu,sasa tunapo pata mada kama hizi ni vema tukajipima kuwa safari bado ipo ndefu mno kuifikia demokrasia itakayompa kila mmoja wetu kujitambua kuwa ni mtanzania,na kuwa mpinzani hakukutolei haki ya kikatiba ya kuwa mtanzania.

Hakuna sayansi hapa isipokuwa tuna chama dola sio chama cha kisiasa,Hon.Lowassa kuingia kwake upinzani ambayo ni haki yake kikatiba ameufanya upinzani upate mafanikio makubwa kuliko chaguzi zote na hii ni facts,now oppositions they are running metros,manispaa,vijiji vingi than before,kwa hiyo unapomtaja Hon.LOWASSA binafsi angalia nini ameufanyia nini upinzani na nchi kwa ujumla,kama una chuki zako binafsi au tuhuma please fungua mashitaka polisi,ambao watafanya uchunguzi wao na hatimaye kuishia mahakamani,kinyume chake ni uzushi tuu.
 
Upuuzi wako wa kawaida
Rejea puuzi zako za nyuma ulizotowa kuhusu Lowassa
 
Hao woote wanaokamatwa wanawahadaa ninyi ili muwaone wapinzani.

Ha ha ha ha.. ngoja ninyamaze tuu maana behind key board inaficha mengi sana.. Mwisho wa siku ninakubaliana na msemo wa wahenga, akili ni nywele, kila mtu ana zake..
 
Ndugu zangu siasa ni mbinu,naaam ni mbinu za kisanyansi. CCM imeendelea kufanikiwa sana kisiasa kwa kuweza kuwabadili akili 'makamanda' hata kuamini kuwa Lowassa ni 'Mkombozi'.

Kwa sasa siasa kwa CCM ni rahisi kuliko miaka 20 iliyopita kwani wamefanikiwa kuharibu fikra za 'makamanda' kwa kuwapatia 'makamanda' dawa wanayoitaka kwani sasa wamelala fofofo.

Ninajua wengi mtatoa kejeli kwa uzi huu lakini nafsi zenu zikiwasuta. kwa sasa eti nayeye katengenezewa mazingira ya 'kubanwa' ili aendelee kupata huruma ya kisiasa.

Ninaweka hii hapa JF ili kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

Nawasilisha.

From opposition presidential candidate year 2015 ni nani aliwahi kupata kura nyingi kama alizopta EL? Kwa taarifa kura hizo zilikuwa mtaji wa kupata ruzuku zaidi ya kukuza chama.
Siasa ni kumbu kumbu vile vile.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom