Tetesi: CCM wameanza kuchukua pikipiki zao

Tetesi: CCM wameanza kuchukua pikipiki zao

1.Wanazirekebisha wanabadilisha rangi za chama zinaondolewa ,zinakuwa mpya ,waziri wa vijana anawakopesha vijana wafanye boda boda...gen z ..

2.Zinafungwa GPS ambazo haitakiwi kutolewa zinagawiwa kwa chawa kwa utaratibu maalumu na vigezo na masharti kuzingatiwa.

3.lucas mwashambwa,tlah tlah,choice,.. wapewe kipaumbile kwanza chawa waandamizi wagawiwe kwanza Lucas Mwashambwa @tlqh tlaa
 
Back
Top Bottom