Tetesi: CCM wameanza kuchukua pikipiki zao

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
2,144
Reaction score
4,290
Kuna msako wa kimya kimya ambao CCM wakishirikiana na jeshi la polisi wameanza kuzifuatilia na kuchukua pikipiki zao ambazo waligawa wakati wa kampeni almaarufu kama pikipiki za mama,

Kwa taarifa za kawaida pikipiki hizo zilifungwa Tracker Gps ambapo wafuatiliaji imewawia vigumu kuzikamata kwa kutumia mfumo wa mtandao kwa kile walichodai pikipiki zimeondolewa kifaa hicho na nyingi kubadilishwa rangi na kutolewa baadhi ya vitu.

Sasa wameamua kuzifuatilia mtaa kwa mtaa Nyumba kwa nyumba vilio vya makada wa chama vimetamalaki huko.

Aidha watu hao wamewataka watu wote waliokabidhiwa pikipiki hizo kuzirejesha office za CCM zilipo karibu na maeneo hayo kuepusha usumbufu wa kuzifuatilia kwani watazikamata tu sababu wale wale wote waliopewa wanajulikana.
 
eeeh, mama anatak pikipik zake
 
1000126247.jpg
 
Kwani hawakuwa na orodha ya waliogawiwa kwa ngazi za serikali za mitaa? Ingekuwa rahisi kuwapata kwa mfumo huo
 
Back
Top Bottom