CCM wakosa umma Singida

CCM wakosa umma Singida

kuupata umati wote huo ccm imetumia sh ngapi?mabasi na malori mangapi yalikodishwa kubeba wadanganyika?
 
Mbona hakuna watu? Au John Komba hakuwepo kutoa burudani?
Si kwamba hakuna watu labda huoni vizuri watu walikuwa wa kumwaga hadi mpiga picha akakosa sehemu nzuri ya kusimama ili achukue picha nzuri.
 
Kuna jamaa anajiita Tolowski ameanzisha thread yenye kuhusu umma wa chadema,ni vyema aje kuona "umma" wao hapa.
 
kuupata umati wote huo ccm imetumia sh ngapi?mabasi na malori mangapi yalikodishwa kubeba wadanganyika?
Nani kawambia tunatumia malori si ungeyaona kwenye picha hizo ni mbinu za wapinzani wetu.
 
Kuna jambo moja ningependa kufaham wana JF,

Inakuwaje mwanachama wa CDM anapoamua kujiunga CCM anapeleka hiyo kadi CCM wakati ya CDM ili iweje? Na wakishaipokea wanaifanyia nini? Vivyo hivyo wa CCM akijiunga na CDM anakabidhi kadi ya CCM kwa CDM, wanazifanyia nini baadae hizo kadi? Tena hapo juu naona huyo amepeleka bebdera ya CDM kwa CCM ili iweje? na wataifanya nini? Ikiwa wataichoma moto italeta maana gani? Au hivi vyama vina utaratibu wa kurudishiana hivyo vitu?

Mie huwa sielewi kabisa logic ya hii kitu labda ingekua inaonyeshwa pale tu anapojiunga kisha baadae mhusika anarudisha kule alikoitoa.
.
 
Kwa vipi mkuu mkutano wa viongozi tena wa kitaifa halafu iwe kejeli mtake radhi Nape.
Nimecheka sana leo,kwa umati huu unahitaji ujasiri wa kifisadi kupost picha za mikutano ya kujivua gamba.
 
Na hao wamepewa hela,je wasingepewa hela si mkutano ungekuwa na viongozi tu.
 
Aliyetaka picha nazan kapata tena kuntu,wanao udhulia 60% ni ajuza 30% vikongwe then 10% vijana uson waliozeeka bongo zao.baaaasi
 
Kuna jambo moja ningependa kufaham wana JF,

Inakuwaje mwanachama wa CDM anapoamua kujiunga CCM anapeleka hiyo kadi CCM wakati ya CDM ili iweje? Na wakishaipokea wanaifanyia nini? Vivyo hivyo wa CCM akijiunga na CDM anakabidhi kadi ya CCM kwa CDM, wanazifanyia nini baadae hizo kadi? Tena hapo juu naona huyo amepeleka bebdera ya CDM kwa CCM ili iweje? na wataifanya nini? Ikiwa wataichoma moto italeta maana gani? Au hivi vyama vina utaratibu wa kurudishiana hivyo vitu?

Mie huwa sielewi kabisa logic ya hii kitu labda ingekua inaonyeshwa pale tu anapojiunga kisha baadae mhusika anarudisha kule alikoitoa.
.
Ndugu yangu uko dunia ya wapi tumkitaka mtu tunamwandalia kila kitu kadi mpya bendera mpya yeye hana haja kujua vimetoka wapi unaweza kumuuliza Makamba nafikiri dili kama hizi anazijua zaidi, kwamba wapi tunazipeleka hiyo ni kazi ndogo sana tunachotaka sisi ni picha tu itoke gazetini.
 
Mbona hujmalizia wengi wao ajuza wasioelewa wamefata nini na watu ambao hawana kazi zakufanya

Hao ajuza ukiwauliza rais wa tz ni nani wanasema Nyerere, huo ndo mtaji wa chama cha magamba CCM.
 
Sasa hivi wapo wilaya ya Manyoni yani kweupe!!! Wamesafisrisha vikongwe toka vijiji mbalimbali ili kuokoa jahazi lakini wapi. The death of Chama cha magamba umeshafika.
 
Kwa vipi mkuu mkutano wa viongozi tena wa kitaifa halafu iwe kejeli mtake radhi Nape.

Nakubaliana na wewe kabisa!! Huu ulikuwa ni mkutano wa viongozi!! Wananchi wa kawaida hawakualikwa!!
 
Nape ajaribu kuelezea zana ya kujivua magamba lakini vikongwe wamekaa kimya tu, anauliza mara tatutatu kama wamemuelewa wako kimya tu. Kaazi kwelikweli yani pamepoa kabisa hakuna hamasa vikongwe wanasubiri kupewa buku buku na kurudishwa vijijini kwao wakale ugali na mrenda wao kwani wamekosa kabisa matumaini hivi wamekubari tu kuja kwa heshima ya diwani wao kwani ndio aliyejitolea usafiri bure so wakaona waje kuosha macho kidogo.
 
Hakuna haja ya kufanya upelelezi/kuunda tume kuchunguza kukubalika/kutokukubalika kwa CCM katika jamii ya tanzania. Picha hizi ni Kielezo tosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom