CCM wakosa umma Singida

Wajaribu tena baadaye kwani namba zooote wanazopiga siklu hizi hazipatikani kirahisi
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kupoteza muda wake kwenda kwenye mikutano ya chama cha mafisadi
 
Singida mjini iko chini ya mdosi nyie, hapo piga ua lakini wanasingida hawasikii kitu mbele dosian wao.
 
KWeli kazi ipo, tena wanarushwa hewani muda mrefu kwa umati wa watu 50, while CDM ina maelfu hata
hewani huwaoni sababu nyingi za kiinteligensia. Wana visa hawa watu.
Ila wananchi tumejipanga hatuwasikilizi hoja zao hata kidogo, kuhusu kununua watu ndio zao hizo ndio maana
xhaguzi zao zinatumia hela mingi sana. Ili wakiiba wanasema huoni tulikuwa na watu wengi Je CDm akiuliza
anajibiwa washabiki na sio wanachama. Ubaguzi huu una mwisho.
 
Itv habari leo asubuhi

Wa windsurf Nape na Chiligati wakiutubia umati mdogo wa wananchi ambao idadi kubwa Yao walikuwa wamevaa sare za ccm. Idadi hiyo ni ndogo sana ukilinganisha na umma unaohudhuria mikutano ya Chadema. Hata hotuba zao hazikusisimua

Mbona hata kipindi cha kampeni CHadema ilikua inajaza watu lakini mgombea wenu akapata 26 percent mkajifariji mulibiwa kura! Lazima mpigwe tena 2015 mtapata 36 percent!
 
Wewe nawe utakuwa kikongwe! Inawezekana nyie ndio mliohudhuria? Huwezi kuwa kijana mwenye akili timamu halafu bado unafikra hizi!
 
CDM tufanye extra work vijijini maana hao ndio wanaotumiwa na CCM kwa vile ni wengi na they are easily taken advantage off by the CCM....tuwaelimishe haki zao kama watanzania....kila mmoja wetu kwa nafasi yake hata kama ni person to person encounter tuwasaidie kuwahamasisha watu wa vijijini waweze kuelwa mbinu za CCM na jinsi ambavyo wanatumiwa but wao hawafaidiki katika hii "transaction"
 
wangewakodisha ze komedi kama kaka yao jk.nape anaongea kwa nguvu mpaka meno yanatoka jasho.0784403279.pia nape arudishe pesa za epa haraka.mishahara miwili nao ni ufisadi pia
 
kweli mwenezi mambo yamemwia magumu
hapa kuna watoto wa shule tu wanasurilia wapewe kanga na bendera za
chama wakazigeuze mashuka CCM SINGIDA.jpg
pencil.png
 
CCM SINGIDA 1.jpg

mgao umeanza, bila hizo bengera ukuti mtu kwenye mtutano, hizo bendera zinamatumizi mengi sana vijijini
mapazia
mashuka
kubebea mizigo
......
....
....
 
Kwanini wawe CDM tu wanaoleta picha kutoka kwenye mikutano yao, nimejitolea kuwaletea habari na picha kutoka kwenye mikutano inayoendelea ya kuitambulisha sekretariati mpya ya CCM baada ya kujivua gamba hizi ni baadhi tu ya picha na matukio ya hivi karibuni, mwenye updates jamani Chadema kiroho kinawadunda........du....ndi....du.....ndi.....

ada_250_167.jpg


 
Mmh!Mw Nyerere aliacha ccm ya wakulima na wafanyakazi,alipokufa wapuuzi wakaanza Ccm-ina wenyewe,kama umati ndiyo huo,Bye Bye Ccm
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom