CCM wakosa umma Singida

TV zinawabeba magamba waziwazi lakini hawajapata mafanikio. Zaidi tv zinatuwezesha kuona jinsi magamba yalivyofulia. Ziendelee tu kuwabeba
 
maskini,ila ngoja wajifunze waanze kuchapa kazi na sio kubabaisha tu
 
Sugu moto chinii

227636_10150177623102548_741272547_6978669_8132531_n.jpg
 
Watanunua wananchi hata kucheza uchi na kutumia waganga wa kienyeji ili wananchi waje kuwaona wakiongea utumbo na pumba. Blaa tupu hiki chama...
 
Aaah Magamba wamenicha hoi kabisa,wamekuja na staili ya kukata mayenu?Chama Cha Mayenu hooiiiiiiiii kabisa.
 
Hongereni wananchi wa Singida kwa kugundua maslahi ya umma

Nyumbani ni nyumbani ,nitarudi kuungana nanyi
 
Hao wote walijua ni shoo ya bongo flava ndio maana walijazana hapo.

Umethibitisha ccm ilivyopitwa na wakati. Ni kweli wamefuata bongo flava kwa sababu Chadema wanajua wananchi hasa wa mikoani hawapendi tena kwaya na taarabu za kapteni Komba. Chadema speaks the language of the people, not language of Magamba
 
bado itafika mahali watahutubia mawe na visiki magamba siku si nyingi mtalazwa kwenye nyumba ya milele
 
Zile buku mbili mbili za kuhonga watu waje mikutanoni kipindi cha kampeni zimeisha wakuu. Sasa tuaona uhalisia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom