Na huyu Mpendazoe haaminiki,Nahisi nae ni Gamba ndani CDM!Amulikwe kwelikweli kabla yakumpa post ya CDM Segerea ktk uchaguzi mdogo kama utakuwepo!
Naibu waziri wa kazi anaongeza ajira kwa kuendesha biashara ya baa!
Na huyu Mpendazoe haaminiki,Nahisi nae ni Gamba ndani CDM!Amulikwe kwelikweli kabla yakumpa post ya CDM Segerea ktk uchaguzi mdogo kama utakuwepo!
Daaaa hizi chaguzi ndogo nazo zinafirisi Taifa, anyway tusubiri tuone!!!!
si vizuri kujadili jambo lililoko mahakamani kwa kufanya hivyo tunaingilia uhuru wa mahakama[/QU
Tatizo sio kuingilia uhura wa mahakama hapa, hii kesi ya makorongo iko uchi toka mwazo ikimpeleka mchaka mchaka mpaka anatoa ulimi nje, ukweli haujawahi kushindwa na uongo tatizo ni hawa majaji wetu wa UPE ndio wakati mwingine wanapindisha ukweli kama kule arachuga.
si vizuri kujadili jambo lililoko mahakamani kwa kufanya hivyo tunaingilia uhuru wa mahakama
mmmh! Red: siyo lugha nzuri hata kwenye JF. Green: mbona hukuenda kutoa ushahidi? Sasa unaambiwa hakuna ushahidi mahakamani, na polisi anayetajwa humu alikana kabisa mahakamani, na wote tulisoma kwenye magazeti. Wengine ni wadogo sana humu, huko zamani wakati kura zikishapigwa kituoni na kuwekwa masandukuni yalikuwa yanasafirishwa kwenda kuhesabiwa eneo jingine. Hapo ndipo wizi wa masanduku ulikuwa na mantiki. Lakini siku hizi kura zinahesabiwa pale pale, na kubandikwa hapo hapo. Hata ukiiba sanduku baadaye haikusaidii. Kinacho matter sasa ni karatasi za majumuisho. Sidhani kama Mahanga ni mjinga kutojua hilo hadi aende kubeba sanduku zisizomsaidia. Lakini, hivi mmezungumza na Mpendazoe? Anasema yeyeSiku Makongoro akivuliwa ubunge nitafurahi sana. Ni mtu mshenzi sana, kwa nini uibe haki ya mwenzako?
Imethibitishwa kwamba mahanga hana biashara ya baa, na nyantare si ya kwake wala haendeshi yeye. Uvumi tu!Naibu waziri wa kazi anaongeza ajira kwa kuendesha biashara ya baa!