CCM wajiandaa na kampeni Segerea-Uchaguzi Mdogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wajiandaa na kampeni Segerea-Uchaguzi Mdogo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bei Mbaya, Apr 28, 2012.

 1. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,266
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Wameanza kujiandaa kwa kampeni za uchaguzi mdogo baada ya kupata taarifa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Mpendazoe(Chadema) dhidi ya Mbunge wa jimbo hilo na Naibu Waziri wa Ajira,Kazi na Vijana Dr.Makongoro Mahanga(CCM) kushindwa kesi hukumu itakayosomwa 02/05/2012.

  Wajumbe wa Mitaa na Wenyeviti wamekuwa wakizunguka mitaani na kuulizia namba za Vitambulisho vya Mpigakura, na hasa wamekuwa wakiwalenga watu wa rika la kuanzia miaka 40 na kuendelea kwani ni wazi na rahisi kutoa ushirikiano ikilinganishwa na vijana.

  Ushahidi wa polisi ndio uliomkaanga Dr.Mahanga kufuatia kukamatwa na maboksi 12 ya kura siku ya uchaguzi na kufikishwa nayo kituo cha polisi Tabata, pia ktk majumuisho ya vifaa yaliyokuwa yakifanyika kata ya Buguruni inadaiwa maboksi kadhaa kutoonekana na mengine kukutwa wazi bila 'seal' za kufungia baada ya zoezi la kuhesabu kura kurudiwa.

  Pamoja na nguvu kubwa kutumika kwa Ikulu kumpigia simu na kumtaka Msimamizi wa Uchaguzi Bw.Fuime kumtangaza mgombea wa CCM mshindi usiku wa manane ktk ukumbi wa Arnatoglou-Mnazi Mmoja, Dr.Mahanga tarehe 02/05 anaenda kuenguliwa.

  Ikumbukwe mwaka jana Mpendazoe alikamatwa na maafisa usalama eneo la Airport na kufunguliwa jalada la kumiliki gari la wizi na baada ya kutoa uthibitisho wa umiliki, polisi kituo cha Buguruni walitupilia mbali mashtaka yaliyokuwa yafunguliwe mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika, habari za kiintelijensia zinadai kulikuwa na lengo la kumuua kwa kushukiwa kupora gari maeneo ya Gongo la Mboto baada ya awali kabisa kesi kumuelemea Naibu Waziri mmiliki wa bar maarufu ya Nyantare iliyopo jimboni kwake.
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,862
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  Tusubiri tarehe 2!!

  Kama kweli polisi walitoa huo ushahidi, sijui magamba yatachomokea wapi??

  Tatizo mahakama hazitabiriki
   
 3. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,106
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  tusubiri tarehe 02/05 kwanza, kwani kiuhalisia jimbo lile nila uncle mpendazoe CDM..
   
 4. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,814
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wizi wa mahanga ulikuwa wazi, na umeathiri matokeo. sijui atachomokaje
   
 5. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  IKULU YETU IPO MIKONONI MWA mhuni,BABA TAIFA ALIWAHI KUSEMA IKULU ni MAHALI PATAKATIFU.SS KM IKULU INASHINIKIZA MSIMAMIZI ATANGAZE MATOKEO YA TOFAUTI HUU SI UHUNI. VLVL HATA KESI YA LEMA IKULU ILIHUSIKA. Uncle Fredy endelea kukazia mpaka kieleweke,Wanakuchelewesha tu.MUNGU atakungulia na utashinda dhuruma haitozidi haki.
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,663
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  ...muda ni shahidi mzuri zaidi.
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Siku Makongoro akivuliwa ubunge nitafurahi sana. Ni mtu mshenzi sana, kwa nini uibe haki ya mwenzako?
   
 8. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 630
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na huyu Mpendazoe haaminiki,Nahisi nae ni Gamba ndani CDM!Amulikwe kwelikweli kabla yakumpa post ya CDM Segerea ktk uchaguzi mdogo kama utakuwepo!
   
 9. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Daaaa hizi chaguzi ndogo nazo zinafirisi Taifa, anyway tusubiri tuone!!!!
   
 10. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mwaga vigezo mkuu
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,053
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mbona nasikia Mahanga ameanza kujisifu kuwa ameshinda hiyo kesi?
   
 12. Jaji

  Jaji Senior Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hapa ndio tutazipima mahakama zetu kama zipo sahihi au la.
   
 13. RUBERTS

  RUBERTS Senior Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kosa kuzungumzia hukumu hiyo. Mleta hoja hii anataka - kuinfluence uamuzi wa mahakama halafu baadae aanze kulalamika. Tusubiri hukumu rasmi ya mahakama.
   
 14. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu tutafika nchi ya maziwa na asali.
   
 15. C

  Consultant JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 3,755
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  BeiMbaya - habari hii umeitoa wapi? ni mawazo yako au una ''source'' ya kuaminika??
   
 16. s

  sokwambi Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mahanga hachomoki
   
 17. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Walidhulumu haki ya Mpendazoe, tuombe Mungu haki itendeke
   
 18. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima kitaeleweka2'
   
 19. T

  Tata JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,346
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Source??
   
 20. Gobegobe

  Gobegobe JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naibu waziri wa kazi anaongeza ajira kwa kuendesha biashara ya baa!
   
Loading...